Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sakata la Ngorongoro limeibua mambo mengi sana. Moja wapo ni suala la hifadhi ya Ngorongoro kukabidhiwa mwekezaji muarabu. Ninaunga mkono wakazi wa Ngorongoro kuhamishwa ili kupunguza uharifu...
20 Reactions
94 Replies
7K Views
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakazi wa Kigoma na Tabora wakkongozwa na Wakuu wa mikoa yao mh Andengenye na Dr Batilda wameishukuru TRC kwa kuwaletea Mabehewa ya kisasa Wakazi wa Kigoma wameahidi kufanya Sherehe kubwa sana...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama unabisha pitia CV yake na kazi mbalimbali alizofanya ndani na nje ya nchi. Ni mtu anayeaminika sana na Taasisi za kifedha za Dunia. Ni Mzalendo.
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope. Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona...
5 Reactions
88 Replies
3K Views
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya...
0 Reactions
4 Replies
807 Views
Shule zinafunguliwa wiki ijayo, sote tunafahamu shule za umma wazazi hawalazimiki kulipia chochote shuleni na wazazi wanafurahia Jambo hili Katika pita pita zangu nimegundua yafuatayo :- 1. Pesa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukizungumzia vyama vikongwe Afrika kwa sasa basi ccm ni namba wanu.Ukizungumzia chama chenye watu wakongwe wa ramani za siasa za ushindi wowote basi CCM ya Tanzania ina watu hao. Yapo mambo...
2 Reactions
12 Replies
770 Views
Wanahujumu mali za umma kisha kesho yake wanaita vyombo vya habari na kumsifia Mama kwa sifa zote zilizopo Duniani.
1 Reactions
7 Replies
748 Views
Kuhusu hili tukio la wale watumishi wa Afya ya zahanati moja huko Tabora nimeona media zote za chadema wanamsagia kunguni aisee kwahiyo sie chadema tunaona raha kuharibu vitumbua vya wenzentu...
0 Reactions
6 Replies
512 Views
Swali hili limeibuka baada ya mahubiri ya leo Kanisani kwamba Binadamu na hasa Wanasiasa hujiangaisha sana ili kufurahisha miili yao ambayo ni udongo tu Kwamba fahari ya mwili ndio huwateka...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi. Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp...
37 Reactions
112 Replies
5K Views
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake...
1 Reactions
2 Replies
882 Views
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…