Kigoma wafurahia Mabehewa ya kisasa ya TRC wasema yana Kiyoyozi na Charger za smart phone!

Wakazi wa Kigoma na Tabora wakkongozwa na Wakuu wa mikoa yao mh Andengenye na Dr Batilda wameishukuru TRC kwa kuwaletea Mabehewa ya kisasa

Wakazi wa Kigoma wameahidi kufanya Sherehe kubwa sana ya ukombozi wa usafiri walioupata

Source TBC
Ushamba mtupu
 
Sawa, lakini behewa hazitoshi,, wayeyushe hizo za zamani, tupate chuma, tuwape gereji mahiri, watusikie mabehewa ya home made,, sidhani kama kuna technolojia kubwa sana kuunda mabehewa,, kuagiza behewa moja zaidi ya bilioni moja, HAIWEZIMAKE🤗
 
Wale waliopewa kuliendesha hilo Shirika miaka iliyopita walibeba vyuma chakavu vyote ! Hata zile gangs njiani hazionekani 🤣
 
Back
Top Bottom