Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?