Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha...
54 Reactions
704 Replies
47K Views
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mheshimiwa najua una majukumu mengi ya kitaifa kwa vile wewe ni Waziri, lakini angalau ungezungumza na muwakilishi Mheshimiwa Jazira, mkalipatia ufumbuzi tatizo hili. Majimbo ya Zanzibar ni...
0 Reactions
10 Replies
936 Views
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri. Nipo huku...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la...
37 Reactions
145 Replies
6K Views
Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu...
0 Reactions
13 Replies
830 Views
CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni...
1 Reactions
6 Replies
675 Views
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM. Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu. "Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila...
56 Reactions
169 Replies
10K Views
Kituo cha TV cha Al jazeera kimetoa makala maalumu ya Mkutano wa kwanza wa Chadema uliofanyika jijini Mwanza Al jazeera imesema mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amempongeza sana mh Rais Samia kwa...
1 Reactions
4 Replies
896 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema kama CCM wanadhani wameiua CHADEMA basi wajue ndio wameiongezea mwendo. Adhabu waliyoipa ya kukaa utumwani miaka 7 Hasira zao mtaziona 2025 kwenye Uchaguzi...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani. Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ndio siku ya kuapishwa kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usala Jenerali Venance S. Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Luteni Jenerali James Aloyce...
8 Reactions
65 Replies
17K Views
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze. Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba...
1 Reactions
3 Replies
495 Views
Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…