Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza
Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena
Jumaa kareem!
VIONGOZI WAKUU WA KANISA LA EVANGELICAL ASSEMBLESS OF GOD OF TANZANIA [E.A.G.T] AKIWEMO ASKOFU MKUU WACHUNGUZWA KWA RUSHWA
Ndugu WanaHabari,
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na...
Wananchi nawasabahi,
Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini.
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa...
Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL,
Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo...
Leo nimejikuta nakumbuka mambo mbalaimbali tuliyopitia Kama taifa kwa nyakat tofauti ambayo yalizua simanzi na taharuki lakini yakapita hivihvi bila kupewa mrejesho ingawa wahusika hukaa mbele ya...
Siwasikii tena wazanzibari mkilalamikia kuwa serikali ya Tanganyika imejivika koti la Muungano na Yale makero ya Muungano siku hizi kimyaa nini kimewasibu Wazanzibari? Au ndio utamaduni wa...
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi...
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu
Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa...
Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani...
Wote tunajua kwamba Shujaa Magufuli alichangia takribani tsh 38 milioni kama mwanafamilia wa Mchungaji Msigwa ili zijazie bakuli la kulipia Faini Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamefungwa Jela...
Kulalamika bila kuweka facts hakusaidii lolote
Inaeleweka wazi kabisa Wazanzibari wote ni Watanzania lakini Siyo Watanzania wote ni Wazanzibari
Very simple
Jumaa kareem!
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza...
Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.
Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule .
Kiongozi aweza kuachia...
Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu.
Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi.
Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi...
Habari JF,
Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM.
Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya...
Kufuatia mkeka wa ma DC kutoka, imeonekana kuna jambo fulani linaepushwa ili kulinda ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye chama wakati wa Katibu Mkuu Deus na genge lake.
Juzi tu mkutano mkuu wa...
Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana.
Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake...
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?