Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilikuwa ni usanii mtupu kupambanisha hizi English medium Schools na Shule za Kata halafu tunaambiwa Chato sec school wanafunzi wamefanya vizuri kuliko Feza International School Prof Mkenda...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HAYA NI MAONI YANGU MIAKA MIWILI ILIYOPITA, LEO 29 JANUARI 2023 NDO YAMETEKELEZWA NA NECTA. NAOMBA LIKES ZENU KWA WALE AMBAO MULIONA VINGINE...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu...
0 Reactions
4 Replies
648 Views
wito wangu kwa Rais Samia Rais wa Tanzania na Prof. Juma Jaji Mkuu wa Tanzania - kuelekea siku ya kilele cha wiki ya sheria Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tangayika na Zanzibar. kila nchi ina...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Kuna haja ya kuweka serikali zaidi yamoja? Huu si uharibifu wa mali za uma na tamaa za madaraka? Haja ipi ambayo inasababisha hasa kuwepo kwa serikali zaidi ya moja ndani yanchi moja? Amini...
1 Reactions
6 Replies
848 Views
Wizara ya elimu ni Wizara inayoshindwa kusimamia weledi na kuwa huru, Wizara hii ilimdanganya Rais Magufuli kuwa wanafunzi wa shule za kata wanaongoza na wanafaulu baada ya kutishwa na Rais...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Zipo kanuni katika maisha ambazo hatuwezi kuzivunja iwe kwa bahati mbaya au makusudi tukabaki bila kuathiriwa kama adhabu ya kuzivunja au kuzipuuza. Siasa ni jumla ya vitu vingi katika taifa kwa...
1 Reactions
3 Replies
768 Views
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesomo Mara nyingi melezo ya necta lakni Bado naona sababu zao za kutotangaza top ten ya watahiniwa na shule Haina mashiko kabisa. 1. Kama wanaamini mazingra ni tofauti bac wayaboreshe. 2...
0 Reactions
6 Replies
534 Views
Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua mradi wa Hoteli ya kisasa ya kitalii Emarald Resort na SPA, Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo tarehe 29...
1 Reactions
3 Replies
745 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye...
42 Reactions
267 Replies
24K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Kampeini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 zimeanza rasmi tarehe 26 Agosti, 2020. Vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi vimeanza kunadi ilani, sera na wagombea wao. Katika kampeini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema,kwa wafuatiliaji wa siasa Tuliona mapema kuwa upinzani utapata shida kubwa Sana majukwaani katika kujenga hoja zenye kuwashawishi na kuteka...
6 Reactions
85 Replies
3K Views
Lazima tutambue hapa kwamba CCM wanatumia strategy ile ya "Adui ya adui yangu ni rafiki yangu". Lakini ajabu kwamba spika amezidiwa mapema hivi, kiasi kwamba hata akiwapo kwenye kiti chake bado...
1 Reactions
163 Replies
26K Views
N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
38 Reactions
234 Replies
12K Views
Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…