UOAGA WA NINI?

UOAGA WA NINI?

Tohoa

Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
38
Reaction score
30
Nimesomo Mara nyingi melezo ya necta lakni Bado naona sababu zao za kutotangaza top ten ya watahiniwa na shule Haina mashiko kabisa.
1. Kama wanaamini mazingra ni tofauti bac wayaboreshe.
2. Kwani shule wanafanya biashara au huduma. Necta wanadai kuwa wamekuwa wakitangaza biashara za watu.
3. Private wanafanya vizr kwa kuwa wanapick wanafunzi Bora kabisa hapa Tanzania.
4. Wanafunzi wasiojua kusoma wanajiunga na shule za serikali .hapa watashindana vipi na wale wa private.
 
Hivi jaman unajua mi naona ipo sawa kabisa

Shule za Kayumba mnazijua au mnazisikia????

Inachotakiwa kila Kundi la shule lishindanishwe na wenzake wa kundi hilo hapo itakuwa sawa

Shule hazina walimu, changamoto lukuki miundombinu mibovu hawachuji hata mtoto mmoja hata kwa kigezo hata uduni kitaaluma, leo ufanye comparison na wazee wa abortion?

Maana kule wanachuja kila uchao

Naona Necta waneanzisha mjadala mpya kwenye sekta ya Elimu na wadau wake
 
Wewe unadhani kwanini wanafunzi Wengi waliofaulu huko mikoani wamegoma kuripoti Kayumba Sekondari?
 
Shule ni mahali pa wanafunzi kupata elimu skills za maisha, sio kushindanishwa nani kafaulu zaidi.
 
Hivi jaman unajua mi naona ipo sawa kabisa

Shule za Kayumba mnazijua au mnazisikia????

Inachotakiwa kila Kundi la shule lishindanishwe na wenzake wa kundi hilo hapo itakuwa sawa

Shule hazina walimu, changamoto lukuki miundombinu mibovu hawachuji hata mtoto mmoja hata kwa kigezo hata uduni kitaaluma, leo ufanye comparison na wazee wa abortion?

Maana kule wanachuja kila uchao

Naona Necta waneanzisha mjadala mpya kwenye sekta ya Elimu na wadau wake
Kama ni hivyo watungiwe mtihani wao.
 
Back
Top Bottom