Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu. Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Kuliko kuikataza mikutano ya hadhara kwa visingizio Mbali mbali ni bora kuifanyia spinning ili isilete madhara makubwa kwa wanaoiogopa! CCM kama chama kikongwe bado kina vichwa vyenye...
3 Reactions
5 Replies
838 Views
KISIASA, Mafia State humaanisha nchi kuwa na serikali jambazi. Ama inatenda uhalifu moja kwa moja kupitia vyombo vyake au inaendesha makundi hatari ya uhalifu. Jana, Rais Samia alieleza kuhusu...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais ana kinga ya kutoshtakiwa. Ndio sababu tuna Bunge ambalo linaweza kumshughulikia pindi anaposhindwa kutekeleza Majukumu yake ipasavyo. Sasa kama Bunge...
0 Reactions
5 Replies
646 Views
Prof. Mkenda Wewe ni Mwalimu kwa ueledi,changamoto za walimu huku field huzijui!? Kama changamoto za watekelezaji wa mtaala mpya na mfumo wake zitakuwa zile zile na matokeo yaweza yakawa yale...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Dr. Magufuli Historia yake...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje. Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa...
0 Reactions
8 Replies
873 Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 2, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 3 WAZIRI MKUU: WANAOREKODI MATUKIO NA KUYARUSHA MITANDAONI WAACHE Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema “Nitoe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi? Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa...
1 Reactions
1 Replies
437 Views
Labda kwenye mambo mengine ila kwenye siasa uchambuzi wake unaonyesha upeo wake ni mdogo sana. Nimemfuatilia hivi karibuni inaonekana anampenda Magufuli na Madikteta wengine kama anavyowatolea...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Mara nyingi ukiona mtu ana pupa na jambo fulani basi mwache, baada ya muda tu atashindwa kulifanya. Hii ndio imetokea kwa CHADEMA. CHADEMA walikuwa na shauku na speed kubwa ya mikutano bila kujua...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa Ukweli huu!,Rais Samia,unapaswa kutatua Madudu haya,Yaliyopo Sebuleni Ikulu kwa sasa!,kabla ya kuhangaika na makaburi. Sikilizeni wenyewe! Mpina ameamua kujivisha kengele, kwa manufaa ya...
1 Reactions
4 Replies
523 Views
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi. Hayati alianza...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati. Kwahiyo, in effect...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa...
15 Reactions
62 Replies
6K Views
Katiba ya sasa inatoa madaraka makubwa kwa Rais wa JMT na hili hata Mwalimu Nyerere alilisemea. Hivyo siyo busara kwa watu wa vetting kufumbia macho undugunization katika maeneo nyeti kwa Afya ya...
1 Reactions
4 Replies
651 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…