Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani...
1 Reactions
8 Replies
883 Views
Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli! Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna wakati mwaka 2000 Kwenye kampeni za uRais Prof Lipumba alituaminisha kwamba dunia nzima inamtegemea Kwenye mambo ya Uchumi hivyo tutafanya kosa kubwa sana tusipomchagua Dr Mwigulu Nchemba...
1 Reactions
14 Replies
822 Views
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura. === Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia...
2 Reactions
17 Replies
857 Views
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu. Alhad Musa amesema hayo...
3 Reactions
168 Replies
18K Views
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam akanusha waraka ktk mitandao ya kijamii kuhusiswa kwake na aliekuwa mkuu wa mkoa wa Dar katika jimbo la Kigamboni fuatana nae ili upate faida zaidi. ======
21 Reactions
296 Replies
31K Views
Nilimsikia Bashe anasema mazao ya wakulima sio mali ya umma ni mali yao binafisi na faster wajinga wakaunga Mkono hoja. Bashe hajui kwamba swala la kulisha raia ni jukumu la Serikali yoyote ile...
0 Reactions
4 Replies
802 Views
Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa. Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini. Kiukweli shehe alhad Salum...
27 Reactions
246 Replies
29K Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan maono yake ni kuhakikisha Watanzania wanapata huduma zilizo bora , Mh Rais amekuwa akipigana usiku na mchana kuhakikisha Watanzania wote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana...
56 Reactions
174 Replies
13K Views
Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake...
12 Reactions
152 Replies
13K Views
Taarifa za Serikali ya Tanzania zilieleza kwamba, Rais Samia aliagiza wenye vyeti feki walioondolewa kazini na serikali ya awamu ya 5, walipwe stahiki zao kuanzia Novemba mosi. Vyombo vya habari...
11 Reactions
120 Replies
11K Views
SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini...
1 Reactions
1 Replies
838 Views
PROF.LIPUMBA Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi) CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi! Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga...
11 Reactions
40 Replies
6K Views
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea...
30 Reactions
223 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…