Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lissu amehojiwa na gazeti la mwananchi kuhusu mambo yanayozungumzwa ya yeye kutaka kuwa mwenyekiti. Lissu anasema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti chadema. Lakini tujiulize hapo, makamu mwenyekiti...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 3, 2023 Kwenye Bunge la 10, Kikao cha 4 Serikali yasema Vijana 1,732,509 hawana ajira Akizungumza Bungeni, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli. DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Kwanini tunaaminishwa kwamba mtaalamu na msomi wa uchumi NI mmoja tu Bungeni? Kama waziri wa Fedha ndiye mchumi pekee kwenye Bunge zima hoja za kiuchumi zitajadiliwa vipi? Kwanini nchi ikubali...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kumekuwa na hizi kauli za Mtetezi wa Wanyonge hivi karibuni..., Ila nadhani ni vema tukajiuliza myonge huyo ni nani na vipi anatetewa. Binafsi nadhani myonge ni yule mwenye haki lakini hapewi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu. Kwa...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Watawala kama hamjui, kati ya maeneo ambayo Wachina ni duni kabisa ni kwenye tekinolojia ya uchimbaji madini. Kwa miaka mingi, China haikuwahi kuingia hata kwenye top 20 kwenye uzalishaji wa...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana...
19 Reactions
117 Replies
8K Views
Nimeufuatilia ziara ya Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo mkoani Morogoro na nimemuomba aendelee na ziara kama hii nchi nzima Chongolo anatembea na Watendaji wa Serikali wanaotekeleza Ilani ya...
2 Reactions
16 Replies
786 Views
Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwa nini hayupo na mkewe wakati akihojiwa na Clouds TV, leo Februari 3, 2023
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara baada ya kifo cha Magufuli Chadema walishangilia Sana wakazani Magufuli alikuwa mbaya wao akina Tundu Lisu walikuwa waongo Kuja Tanzania wakisema hakuna Amani Sasa Magufuli hayupo tena...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Jicho Langu linaona kwamba, Serikali imefanya mambo mengi katika kuboresha huduma za afya hapa nchini tangu tupate uhuru mwaka 1961. Miaka ya 1960 hadi 1990 Serikali ilikuwa inatoa huduma za...
1 Reactions
6 Replies
874 Views
January 2023 Mwanza, Tanzania Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele Freeman Mbowe akiongea katika...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
ACT WAIBUA TISHIO LA NJAA, TEMBO WILAYA ZA NACHINGWEA, NEWALA -Wadai wananchi wanakula mizizi, Serikali yaingilia kati NA MWANDISHI WETU, MATUKIODAIMA APP, LINDI CHAMA cha ACT Wazalendo...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato. Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii. Kuanzia sasa atafahamika kwa...
14 Reactions
162 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…