Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ambaye pia ni Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ameweka Jiwe la Msingi Kituo cha Afya Mtae Wilaya ya...
2 Reactions
3 Replies
494 Views
No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali. Media zote nchi, binafsi...
26 Reactions
136 Replies
7K Views
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika...
7 Reactions
129 Replies
55K Views
Mh Rais Samia Suluhu Hassan ameteuwa wakuu wa kada mbalimbali usiku huu. Ameteuwa Watanzania walio nje ya Utumishi wa Umma kama kawaida yake. USSR
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanabodi, Declaration of Interest. Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kanuni kuu ya kwanza ya mwandishi wa habari, ni to seek the truth and to tell nothing but the truth!. Hivyo kama...
18 Reactions
67 Replies
11K Views
Wanabodi, Leo nimapata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, leo nikizungumzia jinsi rais Mkapa na rais Kikwete, walivyodanganywa kwenye rasilimali za taifa na...
12 Reactions
75 Replies
14K Views
Kumekuwa na taarifa zinazokinzana. CCM wakiwatuhumu Chadema kwa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa ni wao wenyewe waliofanya tukio hilo, wakidai kuwa ni kutokana na vita ya kugombea uongozi...
26 Reactions
295 Replies
21K Views
Rais Magufuli amekubali kujiuzulu kwa Jaji mwingine leo hii Jumanne 20 Juni. Jaji Mwendwa Judith Malecela amekubaliwa kujiuzulu kuanzia leo. Sababu haijasemwa na Ikulu katika taarifa yake leo...
6 Reactions
180 Replies
42K Views
Lissu ameyasema hayo alipoulizwa kwenye kipindi cha Clouds 360 anamuelezeaje Samia kama Rais, ambapo Lissu amesame Samia ana uelekeo mzuri ila anahitaji kusaidiwa. Namna ya kumsaidia ni kumwambia...
24 Reactions
33 Replies
2K Views
Serikali kupitia Waziri wa Michezo imetoa mikopo ya fedha Tsh mil. 850 kwa wasanii 40. Binafsi sikuwahi kusikia tangazo la kuwataka wasanii wenye kuhitahi mikopo waombe. Nchi ya Tanzania ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Rais Samia amekaririwa leo, akitoa kauli zinazoashiria ulalamishi na pia ka-unafiki ka hali ya juu! Badala ya kutoa kauli hizo, alipaswa kutuambia hatua alizochukua kwa wahusika baada ya kupata...
35 Reactions
115 Replies
6K Views
Huu hapa ndio Ujumbe wake Nitakuja kukusalimia nikifika Arusha nikupe Injili ya Mungu. Kama Biswalo, Paul Makonda, Mrisho Gambo na wengine wako huru basi wewe haupaswi kuwa jela. Rais kataja jana...
26 Reactions
115 Replies
8K Views
Wakuu kwanza naomba niwatakieni Heri ya mwezi wa Wapendanao . Sasa mara baada ya Salamu , nawapa Taarifa mpya kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea kwenye Mkutano Mkubwa...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola "Ninja" kesho siku ya jumamosi ataongea na waandishi wa habari kuhusiana na mbwa wa polisi aliyepotea Bandarini jijini Dar Es Salaam. Je sisi kama...
13 Reactions
109 Replies
15K Views
BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo...
1 Reactions
5 Replies
979 Views
Mwenyekiti wa CCM mkoani Mwanza ametangaza mkutano mkubwa wa hadhara kusherehekea miaka 46 ya CCM katika Viwanja vya Furahisha Mgeni rasmi ni mNEC Askofu Gwajima atakayesindikizwa na Waziri wa...
1 Reactions
5 Replies
864 Views
Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Leo katika kukabidhi mfumo wa mawasiliano kwa TCRA,shekhe wa Dar ameitwa kufungua kwa sala! Akaanza sala yake vema, akaanza kuwaombea viongozi na alipofika kumuombea Spika akasema Mungu akupe...
55 Reactions
339 Replies
34K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…