Lema: Kama Makonda, Biswalo na Gambo wako huru, basi Sabaya hapaswi kuwa jela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
104,164
184,081
Huu hapa ndio Ujumbe wake

Nitakuja kukusalimia nikifika Arusha nikupe Injili ya Mungu. Kama Biswalo, Paul Makonda, Mrisho Gambo na wengine wako huru basi wewe haupaswi kuwa jela. Rais kataja jana wezi wa pesa za Plea bargaining na mtu huyo ni jaji. Sheria haipaswi kuangalia sura, cheo, dini au kabila.
FB_IMG_1675260080115.jpg
 

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
5,434
12,656
Lema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Na upumbavu huu umeletwa na serikali ya CCM, kitendo cha kuifanya nchi iwe kama choo haya ndio matokeo yake, 🆔 ya Mh Lema ingekuwa blacklisted kwa wizi wa magari (awe ameshatiwa hatiani na mahakama na kufungwa jela)hata tusingemsikia kwenye politics za nchi maana ID yake ingemsaliti kuwa huyu alishawahi kuhukumiwa means hawezi kugombea uongozi au kuomba kazi popote nchini, sasa mimi ninaiba na kuhamia musoma maisha yanaendelea
 

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,235
28,208
Ukweli ni kwamba Sabaya ni mwovu. Lakini ukimlinganisha na Makonda au Biswalo, Sabaya ataonekana ni mtakatifu.

Ukiongea na wale waliobambikowa kesi za uhujumu uchumi, yawezekana Biswalo atakuwa mtu wa pili aliyewahi kupora pesa nyingi za watu, kuliko mtu yeyote nchi hii.

Huyu Biswalo ni lazima siku moja ahukumiwe sawasawa na uovu wake. Kwa uovu alioutenda, laana itembee naye daima.
 

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
13,494
17,533
Ukweli ni kwamba Sabaya ni mwovu. Lakini ukimlinganisha na Makonda au Biswalo, Sabaya ataonekana ni mtakatifu.

Ukiongea na wale waliobambikowa kesi za uhujumu uchumi, yawezekana Biswalo atakuwa mtu wa pili aliyewahi kupora pesa nyingi za watu, kuliko mtu yeyote nchi hii.

Huyu Biswalo ni lazima siku moja ahukumiwe sawasawa na uovu wake. Kwa uovu alioutenda, laana itembee naye daima.
Comment imekaa kimaskini sana hii. Tafuta pesa
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
15,084
55,129
Sabaya baada ya kuambiwa na Lema aache ushamba wa kuteka na kutesa watu, nakumbuka majibu ya dharau na kejeli aliyokuwa akimpa Lema..

Sasa atakapotembelewa na Lema gerezani, inabidi awe jasiri, litakuwa pigo baya sana kwake kisaikolojia, hasa akikumbuka alivyoambiwa mwendazake hakuwa Mungu, ndio maana leo hayupo nae yuko jela.
 

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,235
28,208
Mimi niliibiwa Pick-up, lema ni mwizi
Low mind kama ulipataje hiyo gari?

Hakuna kiongozi wa upinzani ambaye ni mwizi. CCM, kwa muda mrefu, na miaka ya karibuni Dikteta Magufuli walikuwa mpaka wanawabambikia kesi viongozi wa upinzani. Halafu kuwepo na jinai ya kweli wamwache? Si wangeshukuru wamepata mahali pa kummalizia?

Hakuna mtu kiongozi wa upinzani mwenye makosa ya jinai. Ukiwa mwovu ukaenda upinani ujue jela ni yako. Wapo wapinzani wamewahi kibambikiwa mpaka kesi za mauaji ya binadamu, wakati hawajawahi hata kumpigamtu kofi maisha yao yote.

Majitu majizi, mala rushwa na uchafu wa kila aina, chaka lao ni CCM.
 
26 Reactions
Reply
Top Bottom