johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,025
Tunavyofahamu sisi Wananchi ni kwamba mapendekezo ya Katiba mpya yako kwenye Ripoti ya Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla
Kwamba, Vyama vyote vya Siasa isipokuwa Chadema ndio viliandaa Ripoti hiyo
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia kipindi cha Dakika 45 ITV amesema kwa sasa imeundwa Timu ya Wataalamu kutoka Chadema na CCM ambayo inashughulikia mchakato wote wa Katiba Mpya.
Alipoulizwa na mtangazaji mh Middle wa ITV kwanini Vyama vingine havimo Lisu akasema vikiomba vitafikiriwa
Swali langu ni dogo tu; Je ni kweli kuna hii Timu ya Wataalamu wa CCM na Chadema? Imeundwa na nani? Lini?
Sabato njema!