Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajalamba asali na bado anadai kiinua mgongo chake ambacho amelipwa nusu tu.
Lissu amesema amelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 tu...
Habari wana jamii wenzangu.
Bima ya afya kwa wote ni muendelezo ule ule wa serikali aidha kuokoa taasisi yake au kukwapua pesa za wananchi.
Hakuna jambo hata moja Serikali ya CCM iliwahi...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2)...
Habari za leo wadau.
Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wake Wa Uenezi komledi Shaka kimesema Vyama vya upinzani viwe huru kabisa Kususia uchaguzi hususani CHADEMA ambao ndio wamekuwa wakisema...
Hakika ukishangaa ya Musa basi utayaona ya Filauni.
Mh Mwigulu kwa ushupavu kabisa anatamka hadharani bila kusita kuwa reserve ya fedha za akiba ya taifa zimepungua kisa serikali imechota 1.3...
Akijibu hoja ya Mpina kwamba mfumuko wa bei umetokana na utekelezaji usio mzuri wa sera za fedha na mambo mbalimbali ikiwamo kufanya malipo nje ya bajeti Dkt. Mwigulu amesema, “embu tujadili mambo...
Anauma na kupuliza, nimemsikiliza Lissu tangu akiwa Ubelgiji kwenye Space, Clouds TV, Ngassa TV na ITV hata kwenye mikutano yake yeye anaita Rais Samia basi kwisha.
Cha kushangaza yeye anajiita...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za...
Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma...
Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno.
Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na...
Tunakumbushana tu
February ulikuwa ndio mwezi wa mwisho kwa Sisi wananchi wa kawaida kumuona Shujaa Magufuli hadharani akiwa hai
Ilikuwa ni February 2021
Kauli yake ya mwisho pale St Peters...
Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwa nini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?- Waziri Kangi
Hii kauli anauliza waziri mwenye dhamana ya ulinzi baada ya kukanusha uwepo wa cctv...
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge...
Nilikuwa najiuliza kwanini wabunge wameanza kuongea kishabiki kwenye bunge hili? Jibu kumbe ni mikutano ya hadhara. Wemekuwa waki lalama kama vile wenyewe ni wapinzani na kupuuza ukweli wa mambo...
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu yenu kujenga taifa na nchi yetu.
Wakuu Kwa mara ya kwanza tulipata mwaliko wa kuhudhiria maadhimisho ya CCM tukiwa kama wataalamu wa afya Kwa ajili...
Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri...
07 Feb, 2023
SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni...
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA!
1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu...