Kangi Lugola: Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwanini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,547
2,000
Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwa nini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?- Waziri Kangi

Hii kauli anauliza waziri mwenye dhamana ya ulinzi baada ya kukanusha uwepo wa cctv kamera baada ya mwaka na miezi 7.

Lakini hajasema pia kama huwa hakuna walinzi? Na kamera kweli hazipo hata kwa Karemani & Tulia?

Na hajashangaa madereva wa Mwigulu na Kigwangala wametoka wazima kwenye gari ila anashangaa kwa Lissu?

Inamaana anataka kusema aliyepiga risasi ni dereva? Inamaana jeshi limeahindwa kuwakamata wapigaji risasi?

Na hataki kusema wale askari waliondolewa na nani? Yaani aliyetoa amri askari kuondolewa eneo lile.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,075
2,000
..kwani Polisi walipofika eneo la tukio na kufanya uchunguzi walibaini risasi zilipigwa kiholela au siyo kiholela?

..and what is his definition of risasi kupigwa kiholela?

..na kama uwezo wa wachunguzi wetu wa ndani unafananafanana na wa Mzee Lugola, nadhani ni vema wachunguzi wetu wakatafutiwa WATAALAMU HURU TOKA NJE.
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
566
1,000
Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwa nini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?- Waziri Kangi

Hii kauli anauliza waziri mwenye dhamana ya ulinzi baada ya kukanusha uwepo wa cctv kamera baada ya mwaka na miezi 7.

Lakini hajasema pia kama huwa hakuna walinzi? Na kamera kweli hazipo hata kwa Karemani & Tulia?
Swali la kipumbavu, dereva si aliwahi kusepa. Na mambo mengine ni mipango ya Mungu pia.
 
barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,680
2,000
Hii kauli imenisikitisha sana.Kwa kweli kama haya ndio majibu dhidi ya usalama wa Wabunge na Raia,basi hali ni mbaya tofauti na tulivyofikiri.

Kangi Lugola inampasa kufahamu kuwa Uwaziri wake ni sababu ya Ubunge,huu ubunge huwa una kikomo,lakini kauli yake na matamshi hayana kikomo, yatadumu mpaka zile nyakati ambazo ukweli halisi juu ya shambulio hili utakapofahamika hata ikiwa baada ya miaka 20.

Kama waziri mwenye dhamana,hakutakiwa kujiuliza haya maswali ya kipumbavu kama sisi raia,tena yeye ni polisi mstaafu na Waziri mwenye vyombo vya kijasusi, yeye ndio alipaswa kuja na majibu.Sisi pia tunajiuliza,mpaka leo Naibu Waziri anakaaje eneo lisilo na CCTV,Naibu Spika anakaa mahali pasipo na CCTV?Je, walinzi waliokuwa lindo nao hawajsema lolote?RPC wa Dodoma ilikuwaje ashindwe kukamata wavamizi eneo nyeti kama Area D?

Kauli ya Lugola imeonyesha kuwa Ulinzi kwa viongozi na raia sio kipaumbele na kwamba jeshi letu la polisi linachafuka katika kadhia hii.

Jamani mnatupa shida sana tuliojitoa kwa ajili ya huyu mtu na kumkampenia. Msifanye tujute. Leo Mwigulu kapata ajali watu wanashangilia? Tumefika huko kama Taifa?
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,860
2,000
Wasome au waitafute historia fupi ya John Savimbi. Huyu kabla hajafa siku ya mwisho alipigwa risasi 15 mwilini mwake lakini bado alimudu kupambana kwa masaa 4 hadi damu ilipomuishia akaanguka na kufa. Ina maana angepata huduma ndani ya hayo Masaa angeweza kusurvive. Vitu vingine tumwachie Mungu anayejua kusudi la kumwokoa binadamu kwenye hatari.

Kuna mtu ametoa mfano wa meli ya MV Nyerere ambapo Injinia alikaa zaidi ya siku 3 na kuokoka kwa kujipaka oili, kwani wengine oil hawakuiona? Ajali ya Salome Mbatia kugongwa na Fusso na nyuma yake Zitto anafuata na jinsi walivyobadilishana bila kujua Nani awe mbele!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,914
2,000
Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwa nini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?- Waziri Kangi

Hii kauli anauliza waziri mwenye dhamana ya ulinzi baada ya kukanusha uwepo wa cctv kamera baada ya mwaka na miezi 7.

Lakini hajasema pia kama huwa hakuna walinzi? Na kamera kweli hazipo hata kwa Karemani & Tulia?

Na hajashangaa madereva wa Mwigulu na Kigwangala wametoka wazima kwenye gari ila anashangaa kwa Lissu?

Inamaana anataka kusema aliyepiga risasi ni dereva? Inamaana jeshi limeahindwa kuwakamata wapigaji risasi?

Na hataki kusema wale askari waliondolewa na nani? Yaani aliyetoa amri askari kuondolewa eneo lile.
Ndugu Kangi, kwanza tueleze aliyetoa amri wale askari wote wa Lindoni waondoke ni nani?? pa kuanzia papo wewe unapakwepa kwepa kwa makusudi kwa nini.
 
4G LTE

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
6,281
2,000
Hii kauli imenisikitisha sana.Kwa kweli kama haya ndio majibu dhidi ya usalama wa Wabunge na Raia,basi hali ni mbaya tofauti na tulivyofikiri.

Kangi Lugola inampasa kufahamu kuwa Uwaziri wake ni sababu ya Ubunge,huu ubunge huwa una kikomo,lakini kauli yake na matamshi hayana kikomo,yatadumu mpaka zile nyakati ambazo ukweli halisi juu ya shambulio hili utakapofahamika hata ikiwa baada ya miaka 20.

Kama waziri mwenye dhamana,hakutakiwa kujiuliza haya maswali ya kipumbavu kama sisi raia,tena yeye ni polisi mstaafu na Waziri mwenye vyombo vya kijasusi,yeye ndio alipaswa kuja na majibu.Sisi pia tunajiuliza,mpaka leo Naibu Waziri anakaaje eneo lisilo na CCTV,Naibu Spika anakaa mahali pasipo na CCTV?Je walinzi waliokuwa lindo nao hawajsema lolote?RPC wa Dodoma ilikuwaje ashindwe kukamata wavamizi eneo nyeti kama Area D?

Kauli ya Lugola imeonyesha kuwa Ulinzi kwa viongozi na raia sio kipaumbele na kwamba jeshi letu la polisi linachafuka katika kadhia hii.

Jamani mnatupa shida sana tuliojitoa kwa ajili ya huyu mtu na kumkampenia.Msifanye tujute.Leo Mwigulu kapata ajali watu wanashangilia?Tumefika huko kama Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,063

Ha ha haaa nimecheka kwa huzuni hiyo paragraf ya mwisho yaani pamoja na majanga yote mpaka sasa bado hamjajuta? mnaamini kuna jipya atafanya kuwa fariji? Hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
774
1,000
Kwani nani amemwambia risasi zilipigwa kiholela?, risasi zilipigwa side ya Lissu na target ilikuwa Lissu.

Sisi atuambie walipewa hii failure assignment, mkuu kawapangia kazi nyengine, amewafukuza au ameashawatia kwenye viroba.
 
rip faza_nelly

JF-Expert Member
Feb 19, 2018
3,364
2,000
Wasome au waitafute historia fupi ya John Savimbi. Huyu kabla hajafa siku ya mwisho alipigwa risasi 15 mwilini mwake lakini bado alimudu kupambana kwa masaa 4 hadi damu ilipomuishia akaanguka na kufa. Ina maana angepata huduma ndani ya hayo Masaa angeweza kusurvive. Vitu vingine tumwachie Mungu anayejua kusudi la kumwokoa binadamu kwenye hatari. Kuna mtu ametoa mfano wa meli ya MV Nyerere ambapo Injinia alikaa zaidi ya siku 3 na kuokoka kwa kujipaka oili, kwani wengine oil hawakuiona? Ajali ya Salome Mbatia kugongwa na Fusso na nyuma yake Zitto anafuata na jinsi walivyobadilishana bila kujua Nani awe mbele!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mguu ni mwilini au unaongelea mwilini sehemu gani, hope sio tumbon,kichwan, kifuani, mgongoni, kiunoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,137
2,000
Hii kauli imenisikitisha sana.Kwa kweli kama haya ndio majibu dhidi ya usalama wa Wabunge na Raia,basi hali ni mbaya tofauti na tulivyofikiri.

Kangi Lugola inampasa kufahamu kuwa Uwaziri wake ni sababu ya Ubunge,huu ubunge huwa una kikomo,lakini kauli yake na matamshi hayana kikomo,yatadumu mpaka zile nyakati ambazo ukweli halisi juu ya shambulio hili utakapofahamika hata ikiwa baada ya miaka 20.

Kama waziri mwenye dhamana,hakutakiwa kujiuliza haya maswali ya kipumbavu kama sisi raia,tena yeye ni polisi mstaafu na Waziri mwenye vyombo vya kijasusi,yeye ndio alipaswa kuja na majibu.Sisi pia tunajiuliza,mpaka leo Naibu Waziri anakaaje eneo lisilo na CCTV,Naibu Spika anakaa mahali pasipo na CCTV?Je walinzi waliokuwa lindo nao hawajsema lolote?RPC wa Dodoma ilikuwaje ashindwe kukamata wavamizi eneo nyeti kama Area D?

Kauli ya Lugola imeonyesha kuwa Ulinzi kwa viongozi na raia sio kipaumbele na kwamba jeshi letu la polisi linachafuka katika kadhia hii.

Jamani mnatupa shida sana tuliojitoa kwa ajili ya huyu mtu na kumkampenia.Msifanye tujute.Leo Mwigulu kapata ajali watu wanashangilia?Tumefika huko kama Taifa?
Kwa ujinga huu lazima lissu aminiwe kila anachosema,mfano akiulizwa ilikuaje baada ya zaidi ya mwaka kupita eti leo ndo waziri atokeze kuongeeaa huu upupu.na anaachaje kujibu hoja ya msingi ya walinzi kuondolewa lindoni muda wa tukio?

Kimsingi ameutia ndimu mjadara @mzeemwanakijiji jamaa zako majibu yao ndo hayaa
 
rip faza_nelly

JF-Expert Member
Feb 19, 2018
3,364
2,000
Wasome au waitafute historia fupi ya John Savimbi. Huyu kabla hajafa siku ya mwisho alipigwa risasi 15 mwilini mwake lakini bado alimudu kupambana kwa masaa 4 hadi damu ilipomuishia akaanguka na kufa. Ina maana angepata huduma ndani ya hayo Masaa angeweza kusurvive. Vitu vingine tumwachie Mungu anayejua kusudi la kumwokoa binadamu kwenye hatari. Kuna mtu ametoa mfano wa meli ya MV Nyerere ambapo Injinia alikaa zaidi ya siku 3 na kuokoka kwa kujipaka oili, kwani wengine oil hawakuiona? Ajali ya Salome Mbatia kugongwa na Fusso na nyuma yake Zitto anafuata na jinsi walivyobadilishana bila kujua Nani awe mbele!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mguu ni mwilini au unaongelea mwilini sehemu gan...hope sio tumbon, kichwan, kifuani, mgongoni, kiunoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom