Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,009
- 1,174
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu yenu kujenga taifa na nchi yetu.
Wakuu Kwa mara ya kwanza tulipata mwaliko wa kuhudhiria maadhimisho ya CCM tukiwa kama wataalamu wa afya Kwa ajili uchangishaji wa damu (blood donation)ktk maadhimisho hayo.
Wakuu tunatamani sana kuona vyama vya upinzani vinaimarika ili angalau tuwe na chama mbadala wa ccm, na hili linawezekana kwa kusema ukweli mchungu kwa kutambua uimara wa mpinzani wako na sio kuficha ficha madhaifu ya upinzani like kama ni milki ya watu Fulani tu.
Moja ya jambo nililojifunza ni kwamba CCM ina mfumo wa imara sana wa uongozi kuanzia shina kata wilaya kamati ya siasa utekelezaji katibu uenezi nk, Pili imeweka mfumo mzuri sana wa kuwajibishana, uongozi wa wilaya unaweza kumpa maelekezo DC au Das na akatekeleza n.k
Tatu, inajua kucheza na akili za wanachi kwa vitu vidogovidogo sana ,mfano kwenye hayo maadhimisho kulikuwa na vitu vidogo ila vinagusa wananchi Moja Kwa Moja like michezo games zawadi mbuzi nk
Nne, uimara wa kiuchumi wakuu Moja ya jambo muhimu nimeliona ni ccm kuwa vitega uchumi vingi haijalishi upatikanaji wake, lakini ni ukweli bila uimara kiuchumi Kwa vyama vya siasa vitaiahia kununuliwa tu kama sio na rule party basi na matajiri wa nje.
Nashauri yafuatayo kwa upinzani
Moja waimarishe mifumo ya uongozi na kuimarisha demokrasia ya ndani kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa, hii itaongeza Imani Kwa wanachama wake na wanachi kuona Kila mmoja ana nafasi SAWA ya kuwa kiongozi, vile vile baadhi ya nafasi za uongozi kuwepo na ukomo kama mkt wa kitaifa, sitaki kuamini ndani ya miaka 20 chama kinashindwa kuandaa kiongozi kwenye nafasi hizo, hii inaondoa Imani kwa wananchi na kuleta ukakasi endapo mtu huyo atapewa nafasi kubwa ya kitaifa itakuwaje, it shameful kwakeli.
Pili, waweke malengo ya muda mfupi yanayofikika kuliko malengo makubwa yasiyowekana , kwa mfano nilishauri upinzani uweke lengo la kuchukua viti vingi vya bunge ili iweze kuwa na maamuzi makubwa ya nchi, ikizi gatiwa kwa sasa wananchi wamechoka bunge hili, wakiipeleka hiyo agenda Kwa wananchi no rahis kupokelewa.
Tatu, upinzani utafute agenda zinazogusa wananchi Moja kwa moja, huku wakitoa elimu taratibu ya agenda kubwa kubwa.
Mfano wananchi wachache sana wanajua umuhimu wa katiba mpya katika kutatua matatizo Yao direct, bahati Chadema kama ajenda Yao wanashindwa kujenga vizuri hoja inayoanisha vizuri katiba mya na matatizo ya wananchi
Kwa uchache ni hayo ila suala la umoja ndani ya upinzani ni la muhimu sana.