Katiba Mpya Haikwepeki!

Katiba Mpya Haikwepeki!

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,377
Reaction score
1,957
Kwa kinachoendelea nchini sasa hivi!

Kwa wizi na ufisadi uliotamalaki nchi hii!

Kwa wimbi la Unafiki linaloikumba nchi hii!

Kwa serikali iliyosinzia!

Kwa Cartel's wanavyoiendesha Serikali!

Kwa vifungu na sheria zilizopo kukiukwa hadharani!

Kwa mawaziri kupigana vijembe na wabunge,huku spika akichekelea!

Kwa michwa iliyojaa halmashauri na viunga vyake!

Kwa Serikali kutumia Ikulu mbili kwa wakati mmoja!

Kwa Semina,Warsha,Makongamano haya!

Kwa safari lukuki za viongozi,bila tija!

Kwa utitiri huu wa ma-V8 nchi nzima kwa watumishi,bila mpangilio!

Kwa ukubwa huu wa misafara yaheshimiwa namba moja wa nchi hii!

Tunalazimika kupata katiba mpya kuiokoa hazina ya Taifa hili inayofyekwa kwa kasi ya 5G.

Kwa hizi kesi bandia za kimataifa za usuluhishi na madeni tunazoshindwa kila siku!

Kwa serikali hii kushindwa kujisimamia!

Tunalazimika kukataa "Wahuni".
View attachment 2510634
 
Back
Top Bottom