Arusha waanza maandalizi makubwa ya mapokezi ya Godbless Lema mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,569
145,175
Bavicha wote wamehamia Arusha kwa muda wakkongozwa na mwenyekiti wao John Pambalu

Umeitishwa Mikutano mkuu wa mkoa kupanga mikakati ya mapokezi ya mh Godbless Lema

Mungu wa mbinguni awatangulie!
 
Back
Top Bottom