exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 979
Habari zenu wana JF,
Aisee hawa CHADEMA walikuwa kimya muda mrefu ila sasa nauona moto wao najinsi walivyoshika hisia na matumaini ya watanzania.
Leo mida ya saa 4:30 hawa CHADEMA walipita na gari kama 4/5 zikatengeneza kamsafara fulani basi walipofika maeneo ya CBE nami nilikuwa barabarani naelekea kwenye mishe zangu eeebwanae! watuwalianza kuwashangila kwa honi na kuwapa hai kwa kunyanyua vidole viwili.
Aiseeh nilishangaa nasikuamini kama hawa watu bado misingi yao ipo imara kiasi hicho.
Mungu ibariki CHADEMA