Wabunge 10 bora na dhaifu katika kuchangia bajeti kuu ya serikali 2012/2013

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Uchambuzi huu umefanywa na tuliokuwa tunasikiliza bunge tangu kuanza kusoma kwa bajeti, waweza kuongeza majina katika kundi lolote ili waheshimiwa hawa wajirekebishe au waendelee kutoa michango bora.

A: Waliotoa michango bora kwa serikali
1. Mh Beatrice Shelukindo - CCM Kilindi
2. Mh. Mbowe - CHADEMA Hai
3. Mh Deo Filikujombe - CCM Ludewa
4. Mh Prof Peter Msola - CCM Kilolo
5. Mh Akonay -CHADEMA - Mbulu
6. Mh Mpina CCM
7. Mh Prof Kahigi -CHADEMA - Bukombe
8. Mh Eng. Makani - CCM Tunduru
9. Mh James Mbatia - NCCR (Kuteuliwa)
10. Mh Nomrod Mkono -CCM (Musoma)

B: Waliotoa michango dhaifu na ovyo
1. Mwigulu Nchemba - CCM
2. Lusende - CCM
3. Tundu Lissu - CHADEMA
4. John John Mnyika - CHADEMA
5. William Ngereja - CCM
6. Felix Mkosamali - NCCR
7. Capt John Komba - CCM
8. Ole Sendeka - CCM
 
1. Ubovu wa Lissu (kwa mujibu wako) umenipa taswira ya itikadi yako na uchanga wa upembuzi yakinifu.
2. Kukosekana kwa Mch. Msigwa kwenye kundi A, pia ni uthibitisho wa udhaifu wa vigezo vyako pamoja na maudhui mazima ya uzi wako.
 
Impact ya mchango wao umeiona au ni maneno tu kwangu hata ungetolewa mchango gani tatizo ni udhaifu wa kiongozi wa Nchi kama alivyosema Mnyika.
 
Mie naunga mkono list yako; lkn nashangaa kwanini Mh.Msigwa hujamueka kwenye list B.
Kama kweli tunaangalia uzito wa kile kilichochangiwa kwenye budget na kuweka itikadi zetu pembeni nadhani anastahili; lkn mie nadeclare interest, namkubali Mh. Mch Msigwa na ushauri wangu kwake kwa kutunza heshma yake aachane na vijembe na watu ambao kimsingi watamshushia Personality yake hasa pale wanapokua serious kujadili masuala ya msingi,vijembe ni nje ya Bunge hasa jukwaani muda watosha; mpumbavu ni kumpuuza tu.
 
Huu 'uchokozi', yaani hiyo list B hakuna mh. hata mmoja uliyemwekea mh. !!
 
Hii ni list mbovu na najaribu kujua IQ yakop ni ngapi, could it be below 30?

Uchambuzi huu umefanywa na tuliokuwa tunasikiliza bunge tangu kuanza kusoma kwa bajeti, waweza kuongeza majina katika kundi lolote ili waheshimiwa hawa wajirekebishe au waendelee kutoa michango bora.

A: Waliotoa michango bora kwa serikali
1. Mh Beatrice Shelukindo - CCM Kilindi
2. Mh. Mbowe - CHADEMA Hai
3. Mh Deo Filikujombe - CCM Ludewa
4. Mh Prof Peter Msola - CCM Kilolo
5. Mh Akonay -CHADEMA - Mbulu
6. Mh Mpina CCM
7. Mh Prof Kahigi -CHADEMA - Bukombe
8. Mh Eng. Makani - CCM Tunduru
9. Mh James Mbatia - NCCR (Kuteuliwa)
10. Mh Nomrod Mkono -CCM (Musoma)

B: Waliotoa michango dhaifu na ovyo
1. Mwigulu Nchemba - CCM
2. Lusende - CCM
3. Tundu Lissu - CHADEMA
4. John John Mnyika - CHADEMA
5. William Ngereja - CCM
6. Felix Mkosamali - NCCR
7. Capt John Komba - CCM
8. Ole Sendeka - CCM
 
Uchambuzi huu umefanywa na tuliokuwa tunasikiliza bunge tangu kuanza kusoma kwa bajeti, waweza kuongeza majina katika kundi lolote ili waheshimiwa hawa wajirekebishe au waendelee kutoa michango bora.

A: Waliotoa michango bora kwa serikali
1. Mh Beatrice Shelukindo - CCM Kilindi
2. Mh. Mbowe - CHADEMA Hai
3. Mh Deo Filikujombe - CCM Ludewa
4. Mh Prof Peter Msola - CCM Kilolo
5. Mh Akonay -CHADEMA - Mbulu
6. Mh Mpina CCM
7. Mh Prof Kahigi -CHADEMA - Bukombe
8. Mh Eng. Makani - CCM Tunduru
9. Mh James Mbatia - NCCR (Kuteuliwa)
10. Mh Nomrod Mkono -CCM (Musoma)

B: Waliotoa michango dhaifu na ovyo
1. Mwigulu Nchemba - CCM
2. Lusende - CCM
3. Tundu Lissu - CHADEMA
4. John John Mnyika - CHADEMA
5. William Ngereja - CCM
6. Felix Mkosamali - NCCR
7. Capt John Komba - CCM
8. Ole Sendeka - CCM


hii siikubali, kwani hii Siyo Another Silly Season?
Kwani Kikwete siyo dhaifu? Mchungaji Msigwa yupo wapi? Alitakiwa awepo kwenye group A tena namba 1.
 
Uchambuzi huu umefanywa na tuliokuwa tunasikiliza bunge tangu kuanza kusoma kwa bajeti, waweza kuongeza majina katika kundi lolote ili waheshimiwa hawa wajirekebishe au waendelee kutoa michango bora.

A: Waliotoa michango bora kwa serikali
1. Mh Beatrice Shelukindo - CCM Kilindi
2. Mh. Mbowe - CHADEMA Hai
3. Mh Deo Filikujombe - CCM Ludewa
4. Mh Prof Peter Msola - CCM Kilolo
5. Mh Akonay -CHADEMA - Mbulu
6. Mh Mpina CCM
7. Mh Prof Kahigi -CHADEMA - Bukombe
8. Mh Eng. Makani - CCM Tunduru
9. Mh James Mbatia - NCCR (Kuteuliwa)
10. Mh Nomrod Mkono -CCM (Musoma)

B: Waliotoa michango dhaifu na ovyo
1. Mwigulu Nchemba - CCM
2. Lusende - CCM
3. Tundu Lissu - CHADEMA
4. John John Mnyika - CHADEMA
5. William Ngereja - CCM
6. Felix Mkosamali - NCCR
7. Capt John Komba - CCM
8. Ole Sendeka - CCM

Mkuu, asante kwa taarifa yako, lakini siamini kwamba mmefanya utafiti!!!???
Ila umejisikia kuweka orodha kulingana na mapenzi yako.
 
Nawashukuru wote kwa comments hasa waliotoa maoni yao pasipo kutumia lugha ya kuudhi.
Tutaendelea kutoa uchambuzi huu kila wabunge watakapo maliza kuchangia kila bajeti. Majina yanaweza badilika kulingana na michango yao, endelea kufuatilia. Inayofuata ni wataokao changia Bajeti ya Waziri Mkuu.
 
Back
Top Bottom