Jamaa Fulani Mjuaji
Member
- Jul 25, 2020
- 65
- 125
Ninaomba kufahamu jambo kidogo kwanza Serikali iliamua kudhibiti simu fake ambazo walidai zinakuwa na IMEI zaidi ya moja na rahisi kubadilisha IMEI wakati wa kuifuatilia ajabu ni kwamba inakuwa kazi kwa sasa wao Polisi kushughulikia simu zinazoibiwa licha ya kuwa mtu anakuwa na IMEI na nyaraka zote kuwezesha kuifatilia cha kusangaza simu pekee wanazoweza kufuatilia zikiibiwa ni za Viongozi na au watu wao wa karibu na ambazo ama zimetenda kosa kubwa hasa la mtu wa mlengo Tofauti.
Swali langu:
1) Huu wizi unakua sana je wezi wana baraka za Vyombo husika kiasi kwamba hawogopi kuiba simu watakamatwa?
2) Polisi wanapuuzia hii kazi ya kuzifuatilia simu za wizi kwa sababu gani?
3) Kwanini wanamzungusha sana mtu aliyeibiwa linapokuja swala la kufuatilia simu yake?
4) Kwanini simu inakuwa inaibiwa na mwizi anaitumia unawaambia Polisi simu iko hewani anatumia ndugu sms wanashindwa kuipata?
Mjumbe hauwawi - Naomba Jamii admin msiichanganye post yangu kwenye thread ndeefu kama Comment itashindwa kusomwa.