johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Kwanza kabisa Ieleweke wazi kuwa mchakato wa Katiba ni zaidi ya Siasa na siyo lelemama
Nakumbuka Mzee Warioba alisema Dkt. Mvungi alikuwa injini ya Tume ya Katiba
Naye JK alisema Dkt. Mvungi alikuwa anajua kila kitu kuhusu Katiba na alitamani sana awemo kwenye Bunge la Katiba ila Sheria haikuruhusu
Dkt. Sengodo Mvungi alishatwaliwa na Mungu wa mbinguni
Ndio najiuliza Tundu Antipas Lissu Wakili mbobezi ataziba pengo la Sengodo Mvungi na kutuongoza kuipata Katiba Mpya yenye ubora?