Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana. Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi. Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli...
1 Reactions
8 Replies
964 Views
Mohamed Omary Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii Aidha, Balozi Dkt. Pindi Chana aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii...
8 Reactions
54 Replies
8K Views
Nadhani wengi mmesikia kuhusu tukio la Lissu kutekwa akiwa nje ya Ubalozi baada ya uchaguzi mkuu. Sasa Naibu Balozi wa Ujerumani aliyemchomoa Lissu toka kwa watekaji wake ni huyo anayeonekana ktk...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
Inahitaji watu wenye akili ya ziada kujua hilo, ila kwa wenye akili ndogo ambao ndio majority hawawezi ona hilo. Mfano 1. Meli ya MV Hapa Kazi Tu, hii meli imejengwa kwa cash billion 109, hizi ni...
19 Reactions
266 Replies
11K Views
Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013. Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya...
6 Reactions
91 Replies
7K Views
Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
1. Tuibadilishe sheria ya manunuzi itufaidishe sisi wazawa na sio wachina. 2. Sheria za manunuzi zitazamwe upya na viingizwe vipengele vya kuwajali sana wazawa, tunaweza kuanza na vipengele...
3 Reactions
8 Replies
572 Views
Kwa kweli sielewi. Kama ni hujuma basi ni kubwa sana. Kwamba Serikali haioni jinsi malori ya wafanyabiashara wanavyoirarua babara ya TANZAM , haingii akilini. Kwamba Serikali haioni jinsi TAZARA...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na udanganyifu mkubwa kuliko uchaguzi mwingine wowote tuliowahi kuufanya. Ushahidi ni mwingi mno hadi imekua kama kichekesho hivi. Sasa, kuna...
35 Reactions
85 Replies
7K Views
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku...
14 Reactions
73 Replies
5K Views
*UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia...
6 Reactions
200 Replies
27K Views
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wakuu wa idara za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kwa kujitambulisha tangu...
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Serikali ya India utayari wa Serikali ya Zanzibar kufanikisha uanzishwaji wa Chuo Kikuu cha Teknolojia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge ambaye hana chama chochote Halima Mdee, leo amezidi kupewa ulaji baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC). Bado haijafahamika...
14 Reactions
47 Replies
4K Views
Nchi yetu ina mambo yanakusikitisha Shana yanayofanywa na watoa maamuzi Kwanza, tunakubaliana wote kwamba maeneo mengi hayana maji Ila chini ya ardhi kuna maji ambayo wenye fedha wanaweza...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa...
16 Reactions
114 Replies
5K Views
Mbona sijui nani mwenye uamuzi wa mwisho kwenye hili swala je ni Raisi, Waziri mkuu, kamati ya bunge, mkurugenzi na board ya Tanesco au waziri wa nishati. Hakuna uongozi unaoeleweka ni kila mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…