Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Serikali ya India utayari wa Serikali ya Zanzibar kufanikisha uanzishwaji wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha IIT nchini.
Akizungumza na Balozi wa India Binaya Pradhan na ujumbe wake Ikulu Zanzibar Rais Dk. Mwinyi amesema ameridhishwa na kasi ya uanzishwaji wa Chuo hicho ambacho kimepanga kuanza masomo mwezi Oktoba mwaka huu. Leo tarehe 14 Februari, 2023.