Rais Mwinyi akutana na Wakuu wa Idara CCM Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
477
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wakuu wa idara za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kwa kujitambulisha tangu walipoteuliwa kushika nyadhifa hizo, ujumbe huo uliongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Ndugu Mohamed Said Dimwa.

Leo tarehe 14 Februari 2023, Ikulu Zanzibar.

IMG-20230214-WA0141.jpg
 
Back
Top Bottom