Rais Samia anaogopa kufungua miradi ya Hayati Magufuli maana lazima amtaje na akimtaja wananchi wanashangilia

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,916
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.

Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.

Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.
 
nchi inaujinga sana kwani magufuli alikuja na pesa au mradi.hivo ni vitu vya serikali na wananchi.ndio maana mnakimbilia kila miradi kuweka majina yenu
Awamu hii imeanzisha mradi upi mpya mbali na ujenzi wa daraja la Bil 7😳😳?
 
jaribu kutumia akili!!huyo shujaa wenu alikuwa akiamka tu ana kuja na li mradi huku pesa anategea kukopa,sasa amekufa yale mi miradi ndio kwanza yameanza hizo pesa za kuyamaliza zinatoka wapi hapo hapo mama aanze miradi mipya?!!ila MUNGU FUNDI
 
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa

ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli

Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM

Si imekuwa ikipendekezwa aachwe apumzike kwa amani?
 
Magufuli ana mradi kama upi?
 
Kaa kimya ili watu wasijuwe upumbavu wako. Hakuna miradi ya mtu au kiongozi binafsi Tanzania Bali ni miradi ya Taiga.

Nchi yetu inaongozwa kwa Katiba, na Katiba inataja kuwa Wananchi ndiyo wanamuweka Rais madarakani ili atekeleze matakwa yao.

Kwa sasa nchi yetu inayo blue print inaitwa vision 2025 ambayo iliandikwa kipindi cha BW Mkapa mwaka 2000. Hiyo document imeainisha ni vipi tutajenga miundombinu, kilimo, elimu na afya na sekta zingine za maendeleo hadi mwaka 2025. Hivyo hata CCM Ilani yao wanatoa huko.
 
Hata yeye analijua hilo ila tatizo ni kale ka msoga gang kalikomzunguka maana kamemshika mikono.huyu maza angechanganya nyota yake na ya mwamba asingekamatika kisiasa
 
Sawa yeye aende tu ulaya maana ndio ziara anazozipenda kuliko kuzindua miradi ya watu wake, fainali haiko mbali. Tutaona
 
Hizo ni fikra zako tu mkuu, kiukweli furaha nikuona miradi yote inaendelezwa na ndicho mh. Rais anachokifanya mpaka Sasa Hakuna mradi uliosimamama. Hongera Sana kwa Dr. SSH🇹🇿
 
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa

ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli

Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Sami siyo limbukeni kama jpm ambaye alikuwa tayari kuzindua hata vyoo vya mtu kuanza.
 
Back
Top Bottom