Umeme ni nani anashughulikia? Raisi, W.Mkuu, Director wa Tanesco, Kamati ya Bunge, WZ Nishati? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme ni nani anashughulikia? Raisi, W.Mkuu, Director wa Tanesco, Kamati ya Bunge, WZ Nishati?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Mar 11, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mbona sijui nani mwenye uamuzi wa mwisho kwenye hili swala je ni Raisi, Waziri mkuu, kamati ya bunge, mkurugenzi na board ya Tanesco au waziri wa nishati. Hakuna uongozi unaoeleweka ni kila mtu anasema anachotaka na hatujui ni nani ana responsibility. Kama serikali haisemi ni nani anafanya uamuzi hakutakuwa na uamuzi bali maneno nenda rudi??!!!
   
Loading...