Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siasa ni Sayansi na Maarifa Tukumbushane tu ni Wanaccm wawili tu waliojitosa kumjulia hali Tundu Lisu akiwa mahututi Hospital kule Nairobi Kenya Ni Makamu wa Rais wa wakati ambaye sasa ni Rais...
2 Reactions
7 Replies
680 Views
Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha...
1 Reactions
7 Replies
632 Views
Habari, Huyu mtu hakustahili kabisa kuwa Rais wa Tanzania ingawa alisukumiziwa kutokana na chama kile kukosa mwenye sifa. Alikuwa mtu mwenye chuki za wazi, hakuwa mstahimilivu na asiyependa...
7 Reactions
75 Replies
3K Views
Tarehe 1. 3. 2023 ndiyo siku rasmi atakapokuwa anakanyaga ardhi ya nyumbani kwake jiji Arusha. Nikiwa mwana CHADEMA na mkaazi wa hapa Arusha nawaomba na kuwakumbusha wana CHADEMA tujitokeze kwa...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni kama vile, kadri machungu ya kukaa benchi kwenye siasa za nchi hii. Hususan nje ya bunge! Kunawatesa sana makada na wafuasi wa Chadema. Na Hasa wale ambao walikuwa hawana ajira au shughuli...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
SUALA la kulipwa watumishi wa umma waliotumbuliwa vyeti feki kiasi cha shilingi Bilioni 47 linaonekana kuwa na kizungumkuti wa kisheria ndio maana hadi sasa hakuna Waziri Jenista Mhagama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapewe fedha zao na maslahi yao ya kustaafu yaboreshwe. Miradi inayojengwa kupitia fedha za makato ya wastaafu ziwanufaishe wastaafu. Kuwapangia matumizi ya fedha zao walizozitumikia wakiwa na...
1 Reactions
6 Replies
919 Views
Nimejiuliza nje ya boksi... Ni nani kakamatwa mpaka leo hii? Au ni nani kawekwa pembeni ili kupisha uchunguzi? Haya ni mambo ya kijinai,halafu yanaundiwa tume.wqkati ni jukumu la TAKUKURU na TISS...
1 Reactions
19 Replies
741 Views
Mhe.Chana Apokelewa kwa Shangwe za Utamaduni na Sanaa Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Februari 17, 2023 amewasili kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
648 Views
January Makamba upo busy kwa mambo mengine kama kuhifadhi vikundi na shughuli zingine tofauti kabisa na sekta yako ya "Deputy Minister of Communication, Science and Technology". Kumekua na...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Ukienda kwenye nyumba za Wapemba utashangaa jinsi wanavyoweza kuzaa watoto wengi bila mpangilio, mwanamke wa kipemba anazaa si mchezo huko hakunanaga mambo ya kubemenda kama huku bara na pwani...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kupitia katika kampeni hiyo wananchi wataelimishwa juu ya...
1 Reactions
6 Replies
810 Views
WANASIASA 2025 KAMA MNATAKA KURA ZENU ONGEENI MAZURI JUU YA HAYATI JPM MUNGU ALISIKIA MACHOZI YA WATU WAKE. [emoji116] WANAOSEMA KUWA Hayati Magufuli alikuwa mdhambi nakata wajue MUNGU huwapenda...
0 Reactions
2 Replies
456 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Natamani na kuiombea nchi yetu iwapate viongozi makini, waadilifu, wakweli, watakaoongoza kwa misingi ya haki na usawa. Watakaoijenga jamii yenye kuaminiana na kuheshimiana, inayojali mema ya...
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Habari za weekend wakuu Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki. Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli...
4 Reactions
120 Replies
17K Views
Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mmiliki wa kampuni hii alikuwa nani na kwanini ni yeye tu alichukua kandarasi ya kujenga barabara nyingi nchini Tanzania? Leo yuko wapi? Soma pia - Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato...
17 Reactions
149 Replies
17K Views
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka. 1. Siku hiyo asubuhi hayati...
108 Reactions
303 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…