Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,591
Reaction score
2,383
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi Jerry kweli ni wakuzungumza maneno haya ni kweli Tundu Lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya Serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro ukimpa cheo cha u house girl anakubali na atakupamba kadiri awezavyo.Mzee Warioba kawaambia hawa vijana wakumbuke kuna maisha baada ya wanayemtegemea kutoka madarakani
IMG-20190209-WA0015.jpg
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
Jerry Muro ukimpa cheo cha u house girl anakubali na atakupamba kadiri awezavyo.Mzee Warioba kawaambia hawa vijana wakumbuke kuna maisha baada ya wanayemtegemea kutoka madarakaniView attachment 1019245

1990 Mzee Nyerere alimshauri Mzee Mwinyi avunje Cabinet iliyokuwa na Pm Mzee Warioba kwa Tuhuma Za Rushwa Na Kweli ikavunjwa Na ndio mwanzo wa Huyu Mzee kuanza kupotea Kwenye Siasa Na kuchukia Serikal zote zilizofuata hadi Hii ya JPM japo Hii kapunguza Povu Baada ya mwanae kuula u DC
 
Sasa inakuumia nini.. eeeeeeeeh
Si nanyi mnajua kuongea
Acha nao waongeee
Ole wa MTU awaye yote afurahiaye kumwagwa damu ya MTU asiye na hatia,au maumivu juu ya mtu asiye na hatia KWA maana atanywea kikombe kile kile atakacho kinywea asababishae Hayo. KWA maana damu,maumivu na kilio chao wao watesekao kiko mbele ya kiti cha enzi vikidai kisasi.
Hawa wengine muwasamehe tu.
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app

Amesema hayo ni maoni yake kama mtanzania
 
Nasubiri siku Kama ile ambayo wanaharakati wakiongozwa na CDM walimtetea Jerry Muro dhidi ya watesi wake na TAL akiongoza mahakamani kimtetea. Siku inakuja ambapo atatamani siku za mwanzo zirudi ili huyu waliyemtesa wamtazame kwa macho yao maangavu
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni bidii yako kujipendekeza kusifu na kuabudu, kutukana upinzani,kuropoka chochote umfurahishe mteuzi,hapo teuzi zitamwagika.Umewahi ona kuna MTU keshawahi chukuliwa hatua kwa kutukana,kutishia hata uhai wa mpinzani? hapo polisi wanaziba masikio kbsa gusa upande wa pili Hakuna Rangi utoiona plus fine Milioni 7.Wengi wamepewa kama fadhila kwa stahili hio thus hawana maadili wala ABC za uongozi hawajui majukumu yao hawana semina elekezi thus wanaua hadi makanisani,kuwasumbua wawekezaji, kuweka ndani watu masaa 24 sababu ni dhaifu MTU yeyeto dhaifu utumia nguvu zaidi ya majadiliano.
 
Habari za weekend wakuu

Hivi ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa mbona wana poor thinking capacity kiasi hiki.

Hivi jerry kweli ni waku zungumza maneno haya ni kweli tundu lissu anamuita msaliti na dawa yake ni kunyogwa inaleta picha gani katika taifa hili.

Hivi kweli V8, mshahara na nyumba ya serikali vinaweza kukufanya ukakosa utu na huruma kwa wanadamu wenzako ....

What goes around, always comes around.

Karma haitawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app

....pia kilichompata lissu ni KARMA pia, karma haikuachi salama. Remember that!
 
Hivi siku hizi hakuna wazee wachawi zamani wakuu was mikoa na wilaya waliheshimu wanainchi hawakuwa na mbwebwe hivi yani mkiona wanaleta mbwebwe tu mnamlaza siku mbili chooni, akijifanya mkaidi mnamlaza juu ya mti akiwa mtupu, akijifanya mjuaji asubuhi anajikuta kajinyea tupo mtupu kati kati ya barabara kuu mjini

Sasa sijui wazee mnasubilia nini ebu fanyeji jambo
 
Back
Top Bottom