USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,231
- 28,955
Natamani na kuiombea nchi yetu iwapate viongozi makini, waadilifu, wakweli, watakaoongoza kwa misingi ya haki na usawa.
Watakaoijenga jamii yenye kuaminiana na kuheshimiana, inayojali mema ya wote, watakaolinda amani na kudumisha umoja wa taifa,”
Nilifurahi kipindi kile Lowassa alivyojitoa CCM na kuunga mabadiliko ilileta joto kubwa kwenye uchaguzi na wana CCM wengi walikuwa tayari kwa mabadiliko.
Pia 2025 naomba wana CCM wenye nguvu ndani ya chama watoke na waunge vuguvugu la wapinzani ili tupate chachu iliyochachachuka na kupata viongozi wachachu na watamu ili kuondoa uchungu wanaopitia wananchi.
Mawaziri wengi katika kipindi hiki wamejisahu na wengine kuona nafasi walizopewa (dhamana) kuona ni vyeo vyao na kusahau kuwa wao ni watumishi wa wananchi.
[emoji116]
TUPATE #KATIBAMPYA
PIA #TUKATAEWAHUNI
#KATAAWAHUNI2025