Nchi ya wahuni, kila mtawala ni muhuni.
Can you imagine website yao haina tables za nauli za sasa. Wanaficha nini?
Wanalenga nini kutoweka nauli kwenye website yao.
Kuna tables za 2024!
Dudu Baya amkalia koo Profesa J baada ya kupatiwa milioni 30 na Rais Samia Suluhu
Profesa J hongera kwa kugewa milioni 30 na mama Samia yani wewe huna utofauti na Wastara mnatumia ugonjwa kupata...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ataongoza Taifa hili katika hali ya utulivu na amani kuliko wakati...
Ukiachana na huo utani wa “Millennials” na “Gen Z”, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata...
Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG ya mwaka 2025/2026, imeainisha Moja kati ya Madeni wanayodai Tanesco Kwa Taasisi za serikali, madeni hayo ni ya muda mrefu madeni hayo ni kama yafuatavyo.
ZECO: Tsh...
“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo...
Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto...
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi.
Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika...
Wanabodi,
Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika kupanga au...
Tumeona Jaji Mkuu analalamika kutukanwa anawakemea Gen-Z lakini anasahau kwamba uwazishwaji wa mahakama ni kwa ajili ya kutenda HAKI sasa mahakama ikishindwa kutenda haki ya wazi wazi unafikiri...
Wanabodi,
Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa...
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili...
Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini...
Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!!
Kwao Kuua si kitu chochote Tena.
Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA...
Tangu Tume ya Uchunguzi wa matukiuo ya Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ilipoanzishwa Novemba 20, 2025, watu waliitilia shaka utendaji wake na kwamba haiwezi kuwa huru.
Tume...
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa...
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji...
Utafiti mkubwa unaohusisha Chuo Kikuu cha Durham unaonyesha kwamba kufikiria upya kwa kina muundo wa nyumba za vijijini katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kunaweza kuwalinda watoto kutokana...
Feminist na malalmiko katika mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa nini hawana wawakilishi ?
Je, anayo hoja azingatiwe au apuuzwe ...