Nani atamfunga paka kengele CHADEMA? Wangwe alishindwa, Slaa alishindwa, Zitto alishindwa na sasa Lissu ameshindwa

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,255
Ni wazi kwa sasa hakuna tena wa kumfunga paka Kengele, wengi waliamini Lissu angeweza hii kazi kwa kuwa wanasema yeye sio muoga. Lakini cha kushangaza nae ameonyesha uoga na ameshindwa.

Maswali yaliyo ndani ya Wanachama wengi ni nani sasa ataweza? Je, wataenda hivi hadi lini? Wapo wanaomtaja Heche, Ila kama lissu kachemsha heche ataweza?

Ukweli usiopingika wengi hawamtaki kabisa Ila sababu ya uoga inabidi wakubaliane nae.

Nguvy ya huyu mtu inatoka wapi? Wangwe alijaribu akashindwa, slaa alijaribu akashindwa, zitto alijaribu akashindwa. Kazi ilibaki kwa lissu Ila nae ameshakata tamaa ameamua kurudi zake Belgium

Ni nani ataiweza hii kazi ya kumfunga paka Kengele Chadema?
 
Chadema pasua kichwa! Ni chama chenye katiba ndiyo, ila katiba na sheria za kiongozi wao mkuu ni imara kuliko katiba ya chama!
 
Umeandika upuuzi tu. Baada ya wiki 2 Lisu akirudi utaanza mipasho na kukata uno Tena? Mtu akishajiita chawa basi hana sababu ya kutiliwa maanani coz anaendeshwa na tumbo lake badala ya ubongo.
 
Ni wazi kwa sasa hakuna tena wa kumfunga paka Kengele, wengi waliamini Lissu angeweza hii kazi kwa kuwa wanasema yeye sio muoga. Lakini cha kushangaza nae ameonyesha uoga na ameshindwa.

Maswali yaliyo ndani ya Wanachama wengi ni nani sasa ataweza? Je, wataenda hivi hadi lini? Wapo wanaomtaja Heche, Ila kama lissu kachemsha heche ataweza?

Ukweli usiopingika wengi hawamtaki kabisa Ila sababu ya uoga inabidi wakubaliane nae.

Nguvy ya huyu mtu inatoka wapi? Wangwe alijaribu akashindwa, slaa alijaribu akashindwa, zitto alijaribu akashindwa. Kazi ilibaki kwa lissu Ila nae ameshakata tamaa ameamua kurudi zake Belgium

Ni nani ataiweza hii kazi ya kumfunga paka Kengele Chadema?
Unahangaika na CHADEMA huku unagongewa

IMG-20230220-WA0041.jpg
 
Back
Top Bottom