Salamu,
Nimejiuliza sana lakini sijapata majibu. Ni nini kikwazo kinachoifanya serikali yetu ishindwe kuboresha kilimo kwa kutumia maji ya maziwa tuliyonayo kama Ziwa Tanganyika, Victoria, Rukwa...
Najua Teuzi mpya zimeanzia kwa Wakuu wa Wilaya
Bado Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu, Mawaziri nk
Kwa hii trend humo kwenye njia panda mabarabarani na kwenye Maji na viwanja vya Ndege ni Heri...
JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne...
ZIARA YA MHE. SHONZA KATA YA HASANGA WILAYANI MBOZI - SONGWE
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Danieli Shonza ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa na...
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye...
Kuna ile kamati ya tenda wasijifanye eti ni malaika watu wawaamini tu. Tenda sio jambo la kushindanishwa tu mwenye bei ya chini eti anapewa.
Kuna umuhimu wa kamati kufanya utafiti sokoni ili...
SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo...
Wakati Makonda anamuita mwenyekiti wa bunge maalum la katiba waziri wa muungano na mazingira wakati huo Samia Suluhu Hassan simba jike akisifiwa sana kwa unyenyekevu mkubwa ,sijui Makonda...
MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe...
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania...
TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE
Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata...
Hapo Nyuma wakati wa JPM aliweza kupata mabilioni kutoka Kwa mashirika yakiitwa gawio Kwa Serikali juu. Hivi tangu kutwaliwa hatujasikia hayo yakiendelea! Je ninyi Wakuu wa mashirika mmenyamaza...
ZIARA JIMBONI LUPA
Tarehe 22 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka Mbunge wa Lupa akiongozana na wajumbe wa Mfuko wa Jimbo wameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo...
Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa
Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi...
Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi...
Falsafa za Mwalimu Nyerere ndio zilipelekea kuwapo baadhi ya Tunu
Moja ya falsafa hizo ni aina ya Upinzani tulionao ambapo kwenye kura ya maoni ni 20% ndio walitaka Upinzani
Nyerere akashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.