Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake?

Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli mapema ya Yeye kuwa Historia hapa duniani?

Je, idara ya Usalama / Ujasusi ndani ya Chama chake cha CHADEMA ilifanya/ imefanya Tathmini ya kutosha juu ya Usalama wake Tundu Lissu pindi akirejea rasmi Tanzania kama anavyorejea Wiki hii?

Je, Rais Samia na Mwenyekiti CCM Taifa alimkaribisha (alimwomba) Tundu Lissu arudi Nyumbani Tanzania kama Samia Suluhu Hassan tu au kama Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote nchini?

Kungekuwa na Kupigiwa Kura kuwa Tundu Lissu arejee Tanzania au abakie huko huko aliko GENTAMYCINE hata mara Mia Moja (100) ningemkatalia kurejea kutokana na sababu zangu ambazo naomba nibaki nazo tu Mwenyewe Moyoni mwangu na Rohoni kwangu pia.

Anyways karibu sana Nyumbani TL.
 
Tafsiri ya mada ndiyo hiyohiyo ninayoiamin kuwa walioratibu shambulio la Lissu na watu tofauti na tunaowasikia katika vivywa vyao japo mi naamini lile shambulio liliratibiwa kwasababu ambazo kipindi hiki hazipo tena hivo uenda akawa salama japo waliratibu wako hai na mpaka kiongoz wao mkubwa bado yupo.
 
Aliyekuwa adui yake hayupo watanzania hawana uadui naye wapo social hawapendi uadui wala chuki kama watutsi, hivyo asitafute kick zozote ajijie tu kama mtanzania yeyote yule!
 
Wakati huyo msaliti anarudi kugombea urais mwaka 2020 na akazunguka nchi nzima na kufanya mikutano hadi usiku alihakikishiwa na nani usalama?

Huyu mke wa Amsterdam anadeka sana alafu muoga tu.
 
Wakati ule wa uchaguzi dunia ilikuwa mno karibu na Tanzania hivyo shetani alikuwa kama amefungwa kamba, hata alipojaribu dakika za mwisho mwisho ilishindika, akaponyokea ubalozini dadek!
 
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake?

Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli mapema ya Yeye kuwa Historia hapa duniani?

Je, idara ya Usalama / Ujasusi ndani ya Chama chake cha CHADEMA ilifanya/ imefanya Tathmini ya kutosha juu ya Usalama wake Tundu Lissu pindi akirejea rasmi Tanzania kama anavyorejea Wiki hii?

Je, Rais Samia na Mwenyekiti CCM Taifa alimkaribisha (alimwomba) Tundu Lissu arudi Nyumbani Tanzania kama Samia Suluhu Hassan tu au kama Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote nchini?

Kungekuwa na Kupigiwa Kura kuwa Tundu Lissu arejee Tanzania au abakie huko huko aliko GENTAMYCINE hata mara Mia Moja (100) ningemkatalia kurejea kutokana na sababu zangu ambazo naomba nibaki nazo tu Mwenyewe Moyoni mwangu na Rohoni kwangu pia.

Anyways karibu sana Nyumbani TL.
super ...l
 
Back
Top Bottom