UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

Baraka Mina

JF-Expert Member
Sep 3, 2020
581
574
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania

Sambamba na uteuzi huo, Rais Samia amemteua Obey Nkya Assery kuwa Mwenyikiti wa Bodi ya Usimamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC). Bw. Assery ni Mshauri Mwandamizi, Taasisi ya Global Alliance for Improved Nutrition, Dar es Salaam.


ikulu_mawasiliano-20220413-0001.jpg
 
Back
Top Bottom