Msafara wa CHADEMA Waingia Mlowo Mbozi, Waungurumisha Mkutano wa hadhara Asubuhi, Maelfu ya Wananchi wajitokeza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Wakuu , natanguliza salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa na Chadema Kanda kabambe ya Nyasa ni kwamba leo 25/02/2023 kutavurumishwa mikutano miwili mikubwa ya hadhara , yaani tunadungua ndege wawili kwa jiwe moja .

Asubuhi ni Mlowo Mbozi , Mchana hadi machweo ni Mbeya Mjini .

Pichani ni Mbunge aliyeporwa ushindi kwa kutumia Tume ya Dr Mahera mwaka 2020 Mh Pascal Haonga akihutubia wapiga kura wake asubuhi ya leo .

FB_IMG_1677316539992.jpg
FB_IMG_1677316533967.jpg
 
Wakuu , natanguliza salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa na Chadema Kanda kabambe ya Nyasa ni kwamba leo 25/02/2023 kutavurumishwa mikutano miwili mikubwa ya hadhara , yaani tunadungua ndege wawili kwa jiwe moja .

Asubuhi ni Mlowo Mbozi , Mchana hadi machweo ni Mbeya Mjini .

Pichani ni Mbunge aliyeporwa ushindi kwa kutumia Tume ya Dr Mahera mwaka 2020 Mh Pascal Haonga akihutubia wapiga kura wake asubuhi ya leo .

View attachment 2529451View attachment 2529452
Yule ngiri Mahera namtamani sana
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom