Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Africa mara nyingi wagombea wenza wa Urais huwekwa tu kutimizia takwa la kikatiba, ni mara chache utakuta Mgombea mwenza ana uwezo sawa na Mgombea Urais, labda kwa Kenya kipindi cha Uhuru, Wiliam...
2 Reactions
12 Replies
857 Views
Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa ,mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Mwaaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe! Hata hivyo...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Naona kwa wapenda maendeleo hawa wabunge ambao hawana mvuto wala kupedwa kisiasa ndiyo wanakuwa tatizo. Zungu mfano hana tatizo lolote na mabadiliko ya katiba wala nchi kwasababu ana mvuto na...
1 Reactions
7 Replies
584 Views
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hoja iliyotolewa kipindi serikali inasitisha utaratibu wa kutangaza shule bora kwenye matokeo ya mitihani ya taifa inaweza ikawa mwiba kwenye utaratibu...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa...
124 Reactions
344 Replies
27K Views
Kuna story inasambaa kwenye ile channel yetu ya utalii na hata UTV juu ya mzee mmoja albino aliyebadilika na kuwa kiboko, mzee chimombo ambaye alibadilika yeye na mkewe wakawa viboko. Huu ni...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CHADEMA Kanda ya Nyasa ni kwamba, leo tarehe 27/2/2023 kutafanyika Mkutano mkubwa wa hadhara Mjini Njombe. Lakini kama ilivyo desturi ni kwamba, CHADEMA...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni...
1 Reactions
7 Replies
925 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amelipongeza Jeshi la Polisi nchini kwa kusimamia mikutano ya hadhara kwa amani na haki tangu iliporuhusiwa na Rais...
2 Reactions
6 Replies
629 Views
Niseme ukweli hiki chama kiko moyoni Nilikuwa chadema active 2005-2015 lowasa aliposhindwa niliumia sana Nowdays nimekikita kwenye biashara so hapa kati mwendazake alivyokuwa anafutilia mbali...
2 Reactions
2 Replies
340 Views
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi...
2 Reactions
13 Replies
830 Views
Habari za jioni wana JF? Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture). Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu. Imeelezwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Sijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia. Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea...
0 Reactions
16 Replies
720 Views
Anaandika, Robert Heriel Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu...
38 Reactions
334 Replies
12K Views
Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia...
2 Reactions
12 Replies
857 Views
Hii ndio taarifa mpya ya Jioni hii kutoka Ubaruku Mbarali, unaambiwa kote kule ilikopita Chadema, Tunduma, Mbozi, Mbeya mjini, Kyela na kwingineko umati Uliojitokeza Mbarali hauna mfano. Freeman...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…