Hussein Kiula
Member
- Oct 24, 2012
- 12
- 15
Majuzi nimeona video clip mitandaoni ikimunesha Dkt. Slaa akihutubia kundi kubwa la wananchi mjini karatu huku pembeni kukiwa na bendera ya chadema ikipepea pembezoni.
Dkt. Slaa alisisitiza umuhimu wa katiba mpya na kufafanu ubora wa sera za CHADEMA
Pia aliwaomba wananchi kutoichagua CCM kwa vile imeshindwa kutatua kero kwa miaka yote tangu kuwepo kwake madarakani.
Dkt. Slaa aliendelea kwa kujinasibu kuwa yeye hana chama ila ni profesa wa siasa na yoyote anehitaji huduma yake yuko tayari kusaidia.
Amewambia wananchi waungane na chama kinachoonesha kuwa na matumaini kwa Watanzania ambacho ni chadema.
Nitumie fursa hii kumkaribisha nyumbani Dkt. Slaa maana kumenoga.