Mbeya: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,330
Kama tulivyosema awali , kwamba leo tarehe 25//02/2023 Kwenye Kanda ya Nyasa inapigwa mikutano miwili mikubwa ya hadhara mmoja wa asubuhi wa Mbozi tayari umevurumishwa ambako wananchi wamepewa Elimu ya kutosha mno .

Sasa Msafara unaelekea Mbeya Mjini .

Pichani ni wananchi wa Mbarizi wakiwa wamefurika barabarani wakimsubiri Freeman Mbowe na Viongozi wenzake .

FB_IMG_1677318062043.jpg
FB_IMG_1677318069232.jpg

Mkutano huu Mkubwa sana wa hadhara utakaofanyika Mbeya Mjini ni Muhimu kuliko unavyodhani , hapa ndipo yanapokwenda kufumuliwa madudu yote yaliyofanywa na Tume ya Uchaguzi , Usalama wa Taifa , Polisi na Tulia Ackson uchaguzi wa 2020 .

Taarifa zinaonyesha kwamba kwenye kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 , kura zilizopigwa na wananchi hazikutumika kupata washindi , zoezi la kupiga kura lilikuwa geresha tu , bali wagombea wa ccm walishaandikwa wameshinda hata kabla uchaguzi haujaisha , mipango yote iliisha saa 7 mchana , ilisubiriwa usiku uingie ili washindi watangazwe tu kwa lengo la kuwapumbaza wananchi ili wajue kura walizopiga zilihesabiwa .

Sasa uchafu wote huu na wahusika wote wa uchafu huu akiwemo OCD na RPC , pamoja na DED mhusika wanaenda kuanikwa bila huruma ili wananchi wachukue wenyewe hatua watakazoona zinafaa , nadhani yale ya jana Tunduma hamjayasahau .

Mimi Erythrocyte mtumishi wenu nitakuleteeni yote yatakayojiri , pamoja na Spana zote .

Usiondoke JF

=========
Licha ya Mvua kubwa kunyesha lakini haikuzuia wapenda mabadiliko kujitokeza kwa Maelfu

Hivi ni viwanja vya Nzovwe

View attachment 2529705View attachment 2529707
 
Kama tulivyosema awali , kwamba leo tarehe 25//02/2023 Kwenye Kanda ya Nyasa inapigwa mikutano miwili mikubwa ya hadhara mmoja wa asubuhi wa Mbozi tayari umevurumishwa ambako wananchi wamepewa Elimu ya kutosha mno .

Sasa Msafara unaelekea Mbeya Mjini .

Pichani ni wananchi wa Mbarizi wakiwa wamefurika barabarani wakimsubiri Freeman Mbowe na Viongozi wenzake .

View attachment 2529489View attachment 2529491

Mimi Erythrocyte mtumishi wenu nitakuleteeni yote yatakayojiri , pamoja na Spana zote .

=========
Swali moja muhimu kwa mbowe wali alipo Ben saanane aliyepotea akiwa msaidizi wake binafsi

USSR
 
Swali moja muhimu kwa mbowe wali alipo Ben saanane aliyepotea akiwa msaidizi wake binafsi

USSR
Lazima uwe na uwendawazimu. Kwa hiyo hata kupotea kwa Azory aulizwe mkewe kwa sababu alikuwa mume wake?

Ni lini utatoa mchango wa maana unaoashiria angalao unayo hata akili ile ya kawaida kabisa? Watu kama ninyi ilitakiwa CCM iwakane, maana ndio mlioifanya CCM ionekane chama cha wajinga kwenye ule utafiti uliofanywa na TWAWEZA.

Kuna watu, kama huyu USSR, Etwege, Idugunde, hawajawahi kuleta hoja yoyote ya maana wala kutoa mchango wa maana kwa hoja zinazoletwa tangu wajiunge JF.
 
Hao ni wale vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili
 
Vwawa, Songwe
Tanzania

MAPOKEZI YA UJIO WA VIONGOZI WA CHADEMA NGAZI ZA TAIFA NA KIKANDA LEO VWAWA MBOZI

Vwawa ni mji katika mkoa mpya wa Songwe, msafara wa CHADEMA taifa. Kumbukumbu za sensa zinasema kata hii ya Vwawa sensa ya mwaka 2022 Mwanzo ina idadi ya maelfu ya wakaazi ... ni mpya wenye wenyeji wa kutoka sehemu mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara na visiwani, video inaonesha mapokezi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na ujumbe wake wa viongozi wa kitaifa na kikanda.

Na mchanganyiko wa kijamii uliopo Vwawa na kwengine CHADEMA wanapofanya mikutano ya hadhara ni kipimo tosha cha kuonesha Tanzania ipo tayari kwa mabadiliko yanayochagizwa kila kona ya Jamhuri ya Muungano kupitia People's Power Nguvu ya Umma

Vwawa, Songwe
Tanzania

Vwawa ni mji katika mkoa mpya wa Songwe, msafara wa CHADEMA taifa. Kumbukumbu za sensa zinasema kata hii ya Vwawa sensa ya mwaka 2022 ina idadi ya maelfu ya wakaazi ...

Maelfu ndiyo idadi gani!?
 
Mbeya kuna vibe sana la kisiasa
Hata mikutano ya injili huhaa,hakuna matukio,Sasa wakiona watu toka dar wanaona dikwa magazetini,tv,redio ndiyo hukusanyika wakawaobe,hata wema sepetu akiandaa mkutani watajaa
 
Lini watz tutaanza kutumia akili zetu japo kidogo tu? Na tuache siasa na propoganda mfu zitutawale kwa maslahi ya watu wachache

Hujiulizi wajibu wa kikatiba wa ulinzi kwa kila mtu na mali zake bila kujali itikadi zetu,dini,umri na rangi nk kikatiba tena ni jukumu la Serkali ya Jamhuri ya Tanzania kupitia jeshi la police na vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini

Sasa mtu hawezi kujihalalishia uhai wa mtu halafu aachwe tu km ushahidi upo umepelekwa kunakohusika?. Ndio maana kuna mtu ameona afungue kesi dhidi yao watueleze wamefanya nini tangu kupotea au kudhurika kwa baadhi ya watz wamefanya nini
 
Back
Top Bottom