Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui mzee Lowassa alifikiriaje lakini alisema mambo mawili 1. Swala la Urais niachieni mimi na timu yangu wewe Mbowe na wenzako jikiteni Kwenye Ubunge 2. Tukishindwa kuitoa CCM madarakani mwaka...
3 Reactions
9 Replies
803 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini...
1 Reactions
3 Replies
967 Views
Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani. ➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao ➡️Kwa kupachika...
4 Reactions
10 Replies
634 Views
Kwa tunaojua mbinu za siasa ni dhahiri kabisa ushindi wa Mama Samia umeshikiliwa na Block votes kubwa mbili yaani Uislam na Uwanawake basi. Kitendo Cha Mbowe kumkaribisha Mama Samia kwenye siku ya...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Nawasalimu ndugu Watanganyika, Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana kundi la Sukuma Gang na mataga limekaa kusubiri siasa za maji taka, kwa ufupi wakati wenu Mataga na Sukuma Gang umekwisha, ukurasa wenu umefungwa rasmi, Rais Samia ataheshimiwa...
6 Reactions
16 Replies
931 Views
Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo...
1 Reactions
2 Replies
757 Views
Katika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete: 1) Kwamba Rais yuko Chato kwa muda mrefu sasa kwa kawaida...
95 Reactions
202 Replies
27K Views
Na Mwl Udadis, Tarime Kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi nchini, Rais aliyepo madarakani atakuwa mgeni rasmi katika shughuli ya Baraza la Wanawake wa Chama cha Upinzani, Chama...
1 Reactions
4 Replies
648 Views
"Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nikiwa naendelea subiri mzigo wangu Kariakoo, ngoja niwape nondo moja. Je, upo tayari kupigania nchi yako kwa jasho na damu endapo kuna adui kaingia? Je, unahani una sababu yeyote ya kupigania...
4 Reactions
3 Replies
542 Views
Kwema Wakuu! Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua...
20 Reactions
91 Replies
4K Views
Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi. Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba...
0 Reactions
1 Replies
554 Views
CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura. Ukweli usemwe...
15 Reactions
32 Replies
2K Views
Waswahili tunasema chanda chema huvikwa pete, lakini pia nyota njema huonekana asubuhi. Nchi zote zilizofikia hatua ya kupatikana katiba na Tume Huru za Uchaguzi katika nchi zao, zilipitia katika...
3 Reactions
4 Replies
555 Views
Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Nimeipenda sana hii kauli Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui Leo nashukuru mh Rais Samia...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…