Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia...
3 Reactions
19 Replies
924 Views
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo...
11 Reactions
105 Replies
4K Views
Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume. Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi...
0 Reactions
16 Replies
814 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina sifa na tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga. Kinyonga anabadilika rangi kutokana na mazingira aliyopo lakini kamwe mwili wa kinyonga haubadiliki kuwa wa...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
DC JOKATE AWATAKA WAHANDISI WA MAJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amewataka Wahandisi wa Maji Wilayani Korogwe kutatua changamoto za maji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna...
0 Reactions
1 Replies
557 Views
Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui...
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama...
1 Reactions
3 Replies
618 Views
Na Bwanku M Bwanku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Source...
0 Reactions
5 Replies
647 Views
Maridhiano ya CCM na CHADEMA hayajakubalika na wote ndani ya vyama hivyo viwili. Rais Samia amekiri na kuwaita watu wanaoyapinga maridhiana hayo ndani ya chama chake na CHADEMA pia kama...
1 Reactions
0 Replies
459 Views
Katika mahojiano ya Watangazaji nguli wa BBC Zawadi Machibya na Ezekiel Kamwaga imeelezwa kuwa Rais Samia ana nafasi kubwa ya kushinda 2025 Ezekiel amesema hata kama Rais Samia hatakuwa mgombea...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
Asubuhi nyingine tena hii. Niwasalimu kwa la Jamhuri ya Muungano..Tuseme kwa pamoja kazi iendelee (Sidhani kama kuna kazi inaendelea) Tumshukuru Mungu kwa Siku nyingine Tena, najua dhahiri katupa...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
"Mheshimiwa Rais Samia Wewe, Serikali yako pamoja na Chama chako cha CCM mlipaswa mtuombe Radhi Watanzania kwa kutupitisha katika Kipindi kigumu huku Wengine tukiumizwa zaidi. Rai yangu Kwenu CCM...
69 Reactions
219 Replies
10K Views
Kuna taasisi watu wanakula pesa hata kazi wanayoifanya ni usanii tu na kuwaongezea mzigo wananchi wewe mwana JamiiForums siku ukiwa Rais wa Tanzania uneofuta ipi hapa maana kero zimezidi watu wapo...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Shujaa mashuhuri na kiongozi wa kijeshi na wa kisiasa nchini Ufaransa baada ya mapinduzi ya Kifaransa ,Napoleon Bonapatre aliwahi kutamka maneno haya; "The world suffers a lot. Not because the...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
WanaJf, Salaam! Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:- (a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani; (b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi; (c). Lema kuvunja...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa sababu Mdude Chadema na Tindo wanapendelea Siasa za kizamani hawapendi mabadiliko Kwa mfano hata Wakati huu tulioungana wao bado Wana mawazo ya kichadema chadema Jamani badilikeni...
2 Reactions
3 Replies
436 Views
Back
Top Bottom