Rais Samia kwa deko analowapa CHADEMA linaiua CCM?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,389
1,257
WanaJf,

Salaam!

Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-

(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;

(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;

(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;

(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;

Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.

Msakila Kabende
Kakonko
 
Wacha jealous wewe.
 
Unga juhudi za mama.

Ushazoea mikwara ya mwendakuzimu. Wana ccm na cdm ni wanadam.

Sabaya ni jambazi, liendelee kusota huko na majambaz wenzake.
 
Mtoa hoja acha upumbavu wako, onyesha kidogo kuwa unashirikisha ubongo kwenye maamuzi yako, elewa yafuatayo;president Samia ni wa Tanzania SIO ccm, kaalikwa pale kama Rais wa watanzania wote, centre of power ya nchi ipo Lumumba street sio Magogoni!,na yote hapo juu inajidhihirisha kuwa nchi hii ni shithole country, hayo yote uliyoyaorodhesha ni majukumu ya mahakama sio politicians!,courts zetu zipo zimetekwa na wanasiasa!,mtoa hoja inaonekana wewe ni jitu katili sana na ulikuwa na furaha kubwa kuona Mh.Mbowe akiwa jela, wakati wewe umekaa na wapendwa wako, pumbavu sana
 
WanaJf,

Salaam!

Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-

(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;

(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;

(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;

(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;

Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.

Msakila Kabende
Kakonko
Mkuu una kumbukumnu fupi...
Aliyemtoa msigwa ni samia au magufuli kwa kumtuma polepole?
Kwanza hakumtoa kwa sababu ni mwanachadema ila ni mwanafamilia familia zao zimeoleana.
Sabaya ni jambazi yule tena jambazi haswa kwa mambo aliyowafanyia watu anafaa kufungwa.
Hawa chadema si waamini hata dakika 0 ila wao walikuwa na kesi za kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
Kesi zao zilikuwa ni kufanya siasa kwenye nchi yenye mfumo wa vyama vingi jambo ambalo linashangaza.
 
I'm sure Mbowe anaenda kutamgaza chama kuwasamehe wale wabunge walio kengeuka.
Kisha atamponda sana Rais wa awamu iliyopita na Spika, alafu atamalizia kumsifia mama na kisha kutangaza kwamba siasa za chuki zimekwisha.
 
WanaJf,

Salaam!

Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-

(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;

(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;

(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;

(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;

Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.

Msakila Kabende
Kakonko
Chadema wanatumia akili sio Makalio
 
Mama mtoe huyo amenyonya sana, nami nataka unibebe na kunibembeleza😃😃😃😃😃😃

Umeandika kinyonge sana.
 
WanaJf,

Salaam!

Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-

(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;

(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;

(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;

(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;

Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.

Msakila Kabende
Kakonko
Sukuma Gang na roho zenu za uhasama na umasikini

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mtoa hoja acha upumbavu wako, onyesha kidogo kuwa unashirikisha ubongo kwenye maamuzi yako, elewa yafuatayo;president Samia ni wa Tanzania SIO ccm, kaalikwa pale kama Rais wa watanzania wote, centre of power ya nchi ipo Lumumba street sio Magogoni!,na yote hapo juu inajidhihirisha kuwa nchi hii ni shithole country, hayo yote uliyoyaorodhesha ni majukumu ya mahakama sio politicians!,courts zetu zipo zimetekwa na wanasiasa!,mtoa hoja inaonekana wewe ni jitu katili sana na ulikuwa na furaha kubwa kuona Mh.Mbowe akiwa jela, wakati wewe umekaa na wapendwa wako, pumbavu sana
Ni kweli mimi ni jitu katili Ila CDM ni katili zaidi
 
Furaha yako kuwaona binadamu wenzio wanaishia segerea max prison wakati wewe umefwata mkia wako wa kizuzu na uoga ,never katika maisha haya utegemee other guy's to do battles kwa niaba yako, toka nje kapiganie haki yako kama unaona haipo Sawa
 
WanaJf,

Salaam!

Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-

(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;

(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;

(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;

(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;

Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.

Msakila Kabende
Kakonko
Wewe kweli ni Kabende, nina wasiwasi pia kama akili yako inayo akili.
 
Back
Top Bottom