wazagamba nkoko
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 392
- 998
Hii taasisi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na usalama wake kwa ujumla
Taasisi hii ikiwekwa mfukoni na watawala wanaokiuka viapo vyao, wakishirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu, raia wa chini ndio wanaoangamia, na raia itafikia muda watachoka, wakichoka ni machafuko tu.
Nchi imesaini mikataba ya trilion 11 (dola biliion tano za kimarekani), kinara ni Rostam Aziz.
Nani anajua terms and condtions za mikataba hiyo?
Kwakua sisi ndio wenye nchi ilifaa mikataba hiyo iletwe bungeni tuzifahamu benefits kwa watanzania
Katiba mpya ni muhimu sana kwa sasa