Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
 
Marehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake📌
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Ndiyo maana Mungu wetu mwenye nguvu alimnyakua na kumpoteza pale 17/ 03/ 21.

Ajabu ni hawa watu wake wanaodai eti alikuwa anakubalika? Hivi kweli kama unakubalika una haja gani ya ku SPY?

Wanadai JPM alikuwa anakubalika!! Mimi nawauliza swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Mpaka leo mzimu bado unakuchapa mbele na nyuma!
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Hpn usitusemee labda wewe ndo ulikuwa mwoga,acha chuki na wafu haikusaidii chchte
 
Back
Top Bottom