Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,161
- 1,493
Kwa namna dunia inavyoenda, shughuli za kiuchumi zinavyoongezeka Duniani hasa kwenye sekta ya Viwanda na matumizi ya mkaa katika nchi masikini, mabadiliko ya tabia ya nch hayaepukiki.
Nguvu inayotumika kuzuia mabadiliko ya tabia ya nchi ni ndogo saaana kulinganisha na uharibifu unaofanyika katika misitu etc.
Kuna umuhimu saana kuanza kufikiria kutumia bahari yetu kwa Kilimo, Kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni mvua isinyeshe mwaka mzima au ukame wa kudumu.
Tuwekeze kwenye kuhakikisha kuwa Mikoa kama Iringa, Mbeya, Njombe etc watumie maji ya bahari kwa Kilimo japo sio leo lakini kufikiria hili ni muhimu.
Mikoa ya kanda ya ziwa itumie maji ya ziwa Victoria kwa Kilimo etc.
Kizazi hiki kisipofikiria kuwekeza katika vyanzo vya maji vyenye uhakika hapo baadaye itakuwa janga kubwa sanaa.
Kwa nafasi yako panda miti kuokoa mabadiliko ya tabia ya nch.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app