Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia upya mfumuko wa bei hali ambayo inapelekea ugumu wa maisha kwa wananchi, huku...
0 Reactions
5 Replies
819 Views
Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Nawasalimu wote Leo nitawasilisha hoja yangu kwa njia ya shairi. CHORUS Tunakushukuru wananchi wanatuamini, Jeshi la polisi tunaomba mtuamini Usalama wa taifa tunaomba mtuamini Ohoo ohooo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakuna mtu aliyeweza kujipendekeza kwa Mzee Sokoine na kufanikiwa lakini kwa Magufuli wapo Hakuna mtu angeweza kumwambia Sokoine " mimi ni Chawa wako mkuu" lakini Babu Tale alimwambia Magufuli...
24 Reactions
75 Replies
4K Views
Baada ya kuona picha ya Roma Mkatoliki nimegundua kuwa aliteswa sana na kupokea kipigo kikali. Polisi walimhoji masaa mengi nadhani ili kupata ukweli wa kusaidia uchunguzi wao. Lakini mbona wako...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Vituko vya Silent Ocean sio vya kuachiwa kupita bila kuiona serikali ikifanya jambo! Kuna kila sifa na mapambio juu ya Nchi kufunguliwa! Na kweli tunaiona inavyofunguka....inafunguka kuanzia...
20 Reactions
31 Replies
3K Views
Wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu cha Mt Augustino Mwanza (SAUT), wametembelea na kuhani msiba wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano nchini, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ikiwa ni kuelekea...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Pori tengefu la Msomera mkoani Tanga limefutwa rasmi na Serikali na sasa litapangiwa matumizi mengine ikiwemo kuwapa wamasai wanaohamishiwa kutoka Mbugani ambako wamefurushwa ili kumpisha mwarabu...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Hivi katika haya ushirikiano kati ya raia na jeshi la polisi utatoka wapi? Wao imechukua chini ya saa sita kuwapata waharifu tena hawakukamatwa wala miili yao hatujaiona na wamelipiza kisasi. Je...
14 Reactions
72 Replies
6K Views
Vyanzo vya maji kwa ajili ya Mabwawa makubwa matatu ya kuzalishia umeme, yaani Bwawa la Mtera, Kidatu, na Kihanzi, vyote kwa asilimia tisini (90%) vinategemena na sehemu kubwa vinatokana na vyanzo...
4 Reactions
120 Replies
6K Views
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema! Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili...
3 Reactions
10 Replies
711 Views
Kijana Abdul Nondo ambaye inasemekana kutekwa kwake na kupotea kuna Tia mashaka, je inahisi ikigundulika amedanganya UMMA anaweza pata àdhabu gani Kwa mujibu wa Sheria za kuzuia FYOKOFYOKO?? Pia...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa...
7 Reactions
3 Replies
701 Views
"Hakuna mtu kwenye nchi hii ambaye ameuwawa kisiasa mara nyinyi kama mimi hapa, lakini kila wanapojaribu kuniua kisiasa, watu wa Kigoma wananirudishia uhai wangu kwasababu wanafahamu kwamba kuna...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Ukimaindi Poa! Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo: Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa...
17 Reactions
149 Replies
11K Views
Habarini binadamu wenzangu. Leo nimeona kwenye habari kuwa bajeti ya tz kwa mwaka 2023/2024 ni Trillion 44.3 nilivyoona hiyo 44 nikakumbuka bei ya twitter iliyonunuliwa na musk kwa 44B$ ambayo ni...
1 Reactions
8 Replies
923 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…