Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,314
- 72,740
Baada ya kuona picha ya Roma Mkatoliki nimegundua kuwa aliteswa sana na kupokea kipigo kikali. Polisi walimhoji masaa mengi nadhani ili kupata ukweli wa kusaidia uchunguzi wao.
Lakini mbona wako kimya mpaka Leo?
Kwa utendaji huu nani atakuwa na imani na jeshi LA polisi tena?