johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,007
Hakuna mtu aliyeweza kujipendekeza kwa Mzee Sokoine na kufanikiwa lakini kwa Magufuli wapo
Hakuna mtu angeweza kumwambia Sokoine " mimi ni Chawa wako mkuu" lakini Babu Tale alimwambia Magufuli
Operesheni Uhujumu Uchumi ya Sokoine 1980s hakuna aliyeachwa lakini Magufuli aliwahurumia wengi tu
Sokoine alitisha nyie vitoto vya Jf hasa Bavicha na hatukumuita Katili wala nini tulijua anatutengenezea maisha bora
Magufuli alikuwa Mpole sana ila aliamini kwenye mikwara na Tisha toto
RIP Sokoine
RIP Nyerere
RIP Kawawa
RIP Mkapa
RIP Magufuli
Dominica Njema!