Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
777 Views
Jana, Machi 13 nilipata wasaa wa kusoma hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23, na Vipaumbele vya Kibajeti kwa mwaka ujao wa fedha mbele...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukiwachambua Viongozi wa Dunia hii falsafa na Tabia Zao lazima ziangukie kwa mmoja Kati ya Kaisari Agusto, Mfalme Herode au Gavana Pontio Pilato Nitaleta kwenu historia Zao ila kwa wasiomjua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu). Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri. Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi...
19 Reactions
119 Replies
8K Views
Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati. Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi. Rais Samia...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
29 Reactions
217 Replies
20K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba amesema ukiona Chama cha upinzani kinamualika Mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake kama Mgeni Rasmi ujue hicho siyo chama cha upinzani tena. Elewa kwamba hicho ni...
23 Reactions
126 Replies
8K Views
Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka? Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa...
15 Reactions
94 Replies
4K Views
Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa. Yule mzee majirani zake waliuza...
45 Reactions
142 Replies
13K Views
Watoto wa taifa hili ni vijana wa kesho hivyo vijana wa leo ni viongozi wa leo na kesho..Tutafakari hulka Za vijana wa kesho je pasipo kufinyangwa vema wataweza kumlea vema mama Tanzania? Pamoja...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Bilion 3 zimeipa kiwewe CHADEMA, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo. Hizi pesa CHADEMA mlizopewa mnapaswa...
6 Reactions
86 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Pale Mwembeyanga ikatolewa orodha ya Mafisadi wa CCM na Uongozi mzima wa Chadema Mbowe, Dkt. Slaa, Lisu nk wakalaani vikali. Miongoni mwa waliotajwa kama vinara ni pamoja na mzee Lowassa ambaye...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake. Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili...
32 Reactions
137 Replies
10K Views
Wasalaam, Nimetokea ghafla kumkumbuka sana huyu komredi wangu wa ukweli mzee wa "Piga Tuu" Huyu ndugu yangu baada tu ya kuisha kwa uchaguzi na awamu hii ya tano kuingia madarakani tumekuwa...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Aliyekuwa diwani wa Njombe na wenzake mpaka tunavyoandika hapa angali bado yuko jela kwa tuhuma za uongo za mauaji. Kijana huyu na wenzake watatu walikamatwa kabla ya Uchaguzi wa 2020 kwa amri...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…