Wabunge na Madiwani Njombe wapiga magoti kumshukuru Rais Samia kwa kuwajali kwenye miundombinu ya barabara

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Habari Wadau.

Kutoka Njombe,Wabunge,Madiwani na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe Wamepiga magoti Kama ishara ya Shukrani kwa Mh.Rais Dk.Samia kwa kutimiza ahadi yake ya kuanza ujenzi wa Barabara ya Makete-Kitulo-Mbeya.

Tukio Hilo kimefanyika Leo wakati wa hafla ya utiaji saizi wa makataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo muhimu kwa Uchumi wa Wilaya ya Makete na Mikoa ya Njombe na Mbeya..

Bila shaka leo ilikuwa Ni siku ya furaha Sana kwa watu wa Njombe👇
 
Hao wadiwani msikini na wenye njaa wameitia aibu njombe na nyanda za juu kusini kwa ujumla.
 
Habari Wadau.

Kutoka Njombe,Wabunge,Madiwani na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe Wamepiga magoti Kama ishara ya Shukrani kwa Mh.Rais Dk.Samia kwa kutimiza ahadi yake ya kuanza ujenzi wa Barabara ya Makete-Kitulo-Mbeya.

Tukio Hilo kimefanyika Leo wakati wa hafla ya utiaji saizi wa makataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo muhimu kwa Uchumi wa Wilaya ya Makete na Mikoa ya Njombe na Mbeya..

Bila shaka leo ilikuwa Ni siku ya furaha Sana kwa watu wa Njombe👇

Wataweza kweli kuisimamia Serikali kama wao ndio wanaipigia magoti Serikali.
 
Haya ndiyo aliyakataa Dr. Bashiru Ally Kakurwa. Hivi wabunge hawa wana akili kweli?? Hawaelewi kuwa kila kitu kinachofanywa na serikali kinafanywa kwa nguvu ya jasho la wananchi kupitia Kodi zao na tozo?

Samia hatoi hata Senti tano toka mfukoni mwake . Sasa kwann Samia ashukuriwe mpk anapigiwa magoti??

"Wadfuasi wengi wa ccm ni mbumbumbu".....TWAWEZA (2017)
 
Wewe umekulia Mjini hukui shida,nyie ndio mlikuwa mnapinga Tozo za kujenga Vituo vya Afya Vijijini.
kituo gani kilichojengwa kwa tozo au porojo za lumumba ndo zimekufanya uwe mjinga haya sema ni kias gan cha tozo kilichojenga vituo vya afya vijijin na ni vijiji vipi ambapo tozo zimetumika kujenga hivyo unavyoita vituo vya afya, ujinga wa ccm umezalisha mapumbavu mengi nchi hii.
 
Hawa ni viongozi wanaoweza kupigwa hata miti kimasihara.
Moja ya legacy za kishoga zaidi ambazo Magufuli aliweza kutuachia. Uchawa, kuunga mkono juhudi na kuwasifia viongozi kwa kila kitu, ndio ilikuwa alama kuu ya CCM chini ya utawala wa Magufuli, na sasa mama Samia anafuata njia hizo hizo.
 
Habari Wadau.

Kutoka Njombe,Wabunge,Madiwani na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe Wamepiga magoti Kama ishara ya Shukrani kwa Mh.Rais Dk.Samia kwa kutimiza ahadi yake ya kuanza ujenzi wa Barabara ya Makete-Kitulo-Mbeya.

Tukio Hilo kimefanyika Leo wakati wa hafla ya utiaji saizi wa makataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo muhimu kwa Uchumi wa Wilaya ya Makete na Mikoa ya Njombe na Mbeya..

Bila shaka leo ilikuwa Ni siku ya furaha Sana kwa watu wa Njombe👇

Ila fedha zitakazotumika ni za wananchi.Shukrani nyingi ziwaendee walipa kodi wa Tanzania.pia nawakumbusha muda wa kulipa kodi bila adhabu ni tatehe 31.12.2022
 
Habari Wadau.

Kutoka Njombe,Wabunge,Madiwani na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe Wamepiga magoti Kama ishara ya Shukrani kwa Mh.Rais Dk.Samia kwa kutimiza ahadi yake ya kuanza ujenzi wa Barabara ya Makete-Kitulo-Mbeya.

Tukio Hilo kimefanyika Leo wakati wa hafla ya utiaji saizi wa makataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo muhimu kwa Uchumi wa Wilaya ya Makete na Mikoa ya Njombe na Mbeya..

Bila shaka leo ilikuwa Ni siku ya furaha Sana kwa watu wa Njombe
Hili ni tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom